Kenya 2022 Prof. Lumumba kama Mwl aliyepishana na gari ya mshahara

Kenya 2022 Prof. Lumumba kama Mwl aliyepishana na gari ya mshahara

Kenya 2022 General Election
Hana jipya
Umeona eeeh... aibuuu! sasa hivi anakwepa media baada ya ripoti ya TIFA RESEARCH iliyogundua kuwa kama kura zikipigwa leo (iliendesha kura ya maoni) matokeo ni haya:

Azimio One (Raila) 39%

Kenya Kwanza (Ruto) 35%

OKA (Musyoka) 2%

Hata baada ya OKA, MCC na PAA kujiondoa Azimio One bado Raila yuko juu!

Mkurugenzi wa TIFA RESEARCH ni Mzungu siyo Mkenya.
 
Naupenda sana ujasiri wa huyu jamaa kwa kuusema ukweli anauamini yeye
 
Huyu jamaa anakuwaga na dogma za kijima sana. Alimtia kichwa dhalimu Meko akajiona ndio amekuwa Mao Tse Tung wa Afrika. Bloody fool
 
Raila anabebwa na Uhuru, Mseveni ni tapeli na mjinga
Tayari Raila aliishaanza kureform Kenya ahead of time, kupitia Deep State aliishauri serikali mwaka 2017 (baada ya maridhiano yaliyoasisiwa na Magufuli kati ya Raila na Uhuru PHOTOS: Magufuli Unites Uhuru and Raila - Kenyans.co.ke) waondoe mfumo wa elimu wa 844 na kuzindua CBC (Competency Based Curriculum) ambayo kwa Tz tumei-adopt miaka 3 nyuma lakini hata walimu hawajapewa mafunzo yake kwa kukosa rasilimali fedha na kufanya matokeo kutokuwa mazuri. Hii ya Kenya iko hivi:

Badala ya 844 sasa ni 233333

1652956235143.png
 
hata mm napendelea Odinga ashinde
Ukoo wa Jaramogi Oginga hawana makuu, hawana visasi, wanaogopa damu, wanapiga vita maonevu, wana maslahi ya taifa kwenye nyoyo zao, wana matokeo makubwa, hawana majivuno, hawapendi ukabila, ni Centre-Left-Wingers kwa mrengo wao, wanachukia umasikini, wana faraka/uadui na ufisadi, ni waumini wazuri (wana hofu ya Mungu) wa Anglikana.

Pale Uhuru atastaafu kwa uhakika wa amani yake. Wakikuyu pia wako assured kwamba hakuna malipizi kwao kwa damu za Arwings Kodhek, Tom Mboya, Robert Ouko, Kisumu massacre ya 1969 videos of kisumu massacre 1969 - Bing video .
 
Bora nchi wampe Ruto kuliko Odinga kwa Sababu Jamii ya kijaluo ingawa sio wote lakini Wana ubaguzi Sana Sana na Huwa wanajipenda wao tu.
Hakuna namna Odinga ndio kapewa nchi na wenye Kinya yao...sio wananchi bali mabwenyenye.
Wanasema Ruto hatabiriki atauweka utajiri wao hatarini...amejaa kisasi na udiktera..wanasema wao.
 
Tayari Raila aliishaanza kureform Kenya ahead of time, kupitia Deep State aliishauri serikali mwaka 2017 (baada ya maridhiano yaliyoasisiwa na Magufuli kati ya Raila na Uhuru PHOTOS: Magufuli Unites Uhuru and Raila - Kenyans.co.ke) waondoe mfumo wa elimu wa 844 na kuzindua CBC (Competency Based Curriculum) ambayo kwa Tz tumei-adopt miaka 3 nyuma lakini hata walimu hawajapewa mafunzo yake kwa kukosa rasilimali fedha na kufanya matokeo kutokuwa mazuri. Hii ya Kenya iko hivi:

Badala ya 844 sasa ni 233333

View attachment 2230481
Hii hainatofauti na kwetu jumlisha yote uone
 
Back
Top Bottom