Prof. Lwaitama: Kama utaratibu wa CCM kupata Mgombea Urais umebadilika, Wananchi wanaweza kuahirisha Uchaguzi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Akizungumzia dhana ya kuwa tarehe ya Uchaguzi Mkuu haiwezi kubadilika, Mdau wa Siasa, Profesa Azaveli Lwaitama amesema si kweli na kwamba tarehe inaweza kubadilika kwa sababu mbalimbali ikiwemo mlipuko wa ugonjwa au vita au Wananchi wakiamua iwe hivyo.

Amesema hayo alipohojiwa na Haki TV ambapo ameeleza kuwa kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilifanya mabadiliko ya utaratibu wake wa kuchukua fomu za kuwania Urais, basi inawezekana hata Wananchi wakiamua kushinikiza mabadiliko ya tarehe ya Uchaguzi kwa kufuata utaratibu, jambo hilo linawezekana kufanikiwa.
 
Ccm bwana yao yanawezekana ya taifa hayawezekani ha ha ha ha ha 😂😂
 
Wananchi hawahusiki na kumpitisha mgombea wa chama chochote kile
 
Mwachie gwaji boy acheni kutuingiza kwenye vita ya kidini
 
Akizungumzia dhana ya kuwa tarehe ya Uchaguzi Mkuu haiwezi kubadilika, Mdau wa Siasa, Profesa Azaveli Lwaitama amesema si kweli na kwamba tarehe inaweza kubadilika kwa sababu mbalimbali ikiwemo mlipuko wa ugonjwa au vita au Wananchi wakiamua iwe hivyo.

Amesema hayo alipohojiwa na Haki TV ambapo ameeleza kuwa kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilifanya mabadiliko ya utaratibu wake wa kuchukua fomu za kuwania Urais, basi inawezekana hata Wananchi wakiamua kushinikiza mabadiliko ya tarehe ya Uchaguzi kwa kufuata utaratibu, jambo hilo linawezekana kufanikiwa.
Huyo Mzee Lwaitama ni afadhali mara mia ya mzee wetu Mzee Wassira!
 
Back
Top Bottom