January 23, 2020
Morogoro, Tanzania
Bwawa la Maji la Mindu kuondolewa matope
Kampuni tanzu ya Makampuni ya Bakhresa COAST Dredging inatarajia kurudisha kina cha awali cha bwawa la Mindu mkoani Morogoro lililotengenezwa mwaka 1975 ambalo kwa sasa limepunguza uwezo wake wa kuzalisha maji kutokana na kujaa tope. Azam Marine kampuni ya wazawa ina ujuzi wa kuchimba na kufanya kazi baharini kwa kuondoa mchango matokeo na pia kujenga visiwa vya bandai kwa kutumia Dredging machine na kazi zake zinaonekana Zanzibar na sasa ujuzi huo kutumika ktk kuongeza kina cha bwawa la Mindu.
Source: Azam TV