Pre GE2025 Prof. Mark Mwandosya Makamu wa Raisi November 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Rais Samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Pole na majukumu mazito ya kuliongoza taifa letu pendwa la Tanzania.

Bila shaka unapitia wakati usio wa kawaida kutokana mambo yanaendelea katika taifa letu pendwa la Tanzania, nakupongeza sana kwa jinsi unavyojitahidi kwa uwezo wako kuongoza taifa letu.
Kwann nakupongeza?

1. Umechukua inchi bila kujianda kisakolojia, kimkakati, imetokea ghafla umekuwa Rais.
2 .Nchi yetu ni kubwa mno kulinganisha na inchi zingine za Afrika mashariki.
3. Angalau inchi yetu imefunguka kimataifa kuna kasolo ndogo za kuzirekebisha( mauwaji na utekaji).
4. Stahiki za wafanyakazi zimetolewa, kupandishwa madaraja, kuajiri,nk. Lengo la uzi huu ni kukusaidia kukuonesha baadhi ya watu sahihi wa kukusaidia kufanya nao KAZI katika kuliongoza taifa letu pendwa. Kama kawaida yangu nitaendelea kufanya hivi,kadri Mungu atakaposema na mm.

Kama mwakani utagombea kiti cha URAIS ikikupendeza mchukue profesa Mark MWANDOSYA awe mgombea mwenza. Kwann yeye ?

I. Ni mwanasiasa mkongwe na mzoefu katika taifa letu
ii. Ni kiongozi mwadirifu hana kashifa hivyo akawa mwenye ushawishi kwa wapiga kura wako.
iii. Ni msomi lakin pia anauzofu kwenye serikali karibu awamu zote isipo kuwa kwa serikali ya awamu ya tano.
iv.Pro mark MWANDOSYA ni mtu mwenye kusema ukweli unapokosea atakwambia ukweli tafauti na hawa chawa wanaokuzunguka hapo "white house" mchana upo nao usiku wapo kwingine I'li waendelee kula mkate.
v.huyu ni kiongozi mwenye mvuto kwa watu , hivyo kura zote za kanda ya juu kusini ni zitakuwa ni zenu,kama unavyojua mikoa ya mbeya, iringa,mjombe, songwe, ni mikoa migumu sana kwa ccm, huyu profesa atakusaidia sana.
Lakini pia kihistoria nyanda za juu kusini haijawai kutoa MAKAMU wa RAIS toka uhuru ,kwa hiyo hiii itakuwa advantage kwako kushinda kirahisi sana.
vi. Huyu MWANDOSYA hana makundi ndani ya ccm, kama ilivyo kwa viongozi wako wa karibu wanasyndicate nyingi sana" they are chameone"( hypocracy) watch out. Hivyo itakusaidia sana kustabalize CHAMA pamoja na serikali kwa ujumla.
Vi. Huyu PRO.MWANDOSYA ni mchapa KAZI sana sana tena sana, katika jimbo lake huko tukuyu mbeya miaka ya 2004, jimboni kwake maji umeme vilikuwa vimefika kila kijiji, kila mtaa, umeme hivyo, hivyo,Barbara hivyo, hivyo,shule nk mpaka alipoamua mwenyewe kutokugombea tena ubunge, kustafu siasa mpaka leo wanamwitaji tena. Mtu huyu ana hekima, sana, ana utu sana.

Mh Rais nisikuchoshe sana bila shaka unaatimu Yako (state intelligence) wape KAZI ya vetting.

Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist Gabeji Taifa kwanza.
 
Ccm tutaacha lini kuandaa majina makubwa ya makada badala kutengeneza taasisi imara za jamuhuri za kudumu ili kutatua changamoto na matatizo ambayo yanategemea majina ya watu!!?
 
Muacheni Mzee Mwandosya alee wajukuu.

Mwandosya alishafanya mengi katika ujana wake ,, lipi jipya atafanya Kwa umri wa miaka 75 alionao sasa?
 
Nyanda za juu ,mnaona tulia Jackson mwasasu hatoshi kuunganisha kura

Mana kigoma hawezi kuomba kura majukwani
 
Kibabu Cha miaka 75 unampa umakam WA rais ili agundue Nini?

Tunahitaji viongozi WA huu wanaonza wawe chini ya 60, mawaziri wanaonza wawe chini ya 45 na tunashauri 2025 wazee mawaziri wanaozidi 65 wapunzike
 
Huyu ni tunu ya taifa, ubabu sio hoja, unataka vijana wezi, warushwa, wenye uchu wa madaraja, chawa.
 
Mmh! Mbona kama tunarudi nyuma? Mwandosya aliyetumika tangu Nyerere ndiyo awe makamu wa rais??
 
Hivi 2025 atakuwa na miaka mingapi Mzee Mwandosya?

Tuache ujinga wandugu. Tuungane kutengeneza mifumo na katiba imara ambayo kila atakayechaguliwa analazimika kuifuata! Kwa mtindo huu itakuwa tunapiga maktaim tu.

Akiingia Kikwete anafungua uchumi kwa kutegemea nchi za nje, akiingia Magufuli anapiga marufuku uchumi wa kutegemea nje na anafungua uchumi wa ndani, akiinga mama Samia anapiga marufuku uchumi wa ndani anafungua wa nje!

Hivi tutasogea kweli?
 
Biden ana miaka 81 anaongoza taifa kubwa la Marekani, Trump ana 79 anagombea Urais
 
Rais Samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Pole na majukumu mazito ya kuliongoza taifa letu pendwa la Tanzania.

Bila shaka unapitia wakati usio wa kawaida kutokana mambo yanaendelea katika taifa letu pendwa la Tanzania, nakupongeza sana kwa jinsi unavyojitahidi kwa uwezo wako kuongoza taifa letu.
Kwann nakupongeza?

1. Umechukua inchi bila kujianda kisakolojia, kimkakati, imetokea ghafla umekuwa Rais.
2 .Nchi yetu ni kubwa mno kulinganisha na inchi zingine za Afrika mashariki.
3. Angalau inchi yetu imefunguka kimataifa kuna kasolo ndogo za kuzirekebisha( mauwaji na utekaji).
4. Stahiki za wafanyakazi zimetolewa, kupandishwa madaraja, kuajiri,nk. Lengo la uzi huu ni kukusaidia kukuonesha baadhi ya watu sahihi wa kukusaidia kufanya nao KAZI katika kuliongoza taifa letu pendwa. Kama kawaida yangu nitaendelea kufanya hivi,kadri Mungu atakaposema na mm.

Kama mwakani utagombea kiti cha URAIS ikikupendeza mchukue profesa Mark MWANDOSYA awe mgombea mwenza. Kwann yeye ?

I. Ni mwanasiasa mkongwe na mzoefu katika taifa letu
ii. Ni kiongozi mwadirifu hana kashifa hivyo akawa mwenye ushawishi kwa wapiga kura wako.
iii. Ni msomi lakin pia anauzofu kwenye serikali karibu awamu zote isipo kuwa kwa serikali ya awamu ya tano.
iv.Pro mark MWANDOSYA ni mtu mwenye kusema ukweli unapokosea atakwambia ukweli tafauti na hawa chawa wanaokuzunguka hapo "white house" mchana upo nao usiku wapo kwingine I'li waendelee kula mkate.
v.huyu ni kiongozi mwenye mvuto kwa watu , hivyo kura zote za kanda ya juu kusini ni zitakuwa ni zenu,kama unavyojua mikoa ya mbeya, iringa,mjombe, songwe, ni mikoa migumu sana kwa ccm, huyu profesa atakusaidia sana.
Lakini pia kihistoria nyanda za juu kusini haijawai kutoa MAKAMU wa RAIS toka uhuru ,kwa hiyo hiii itakuwa advantage kwako kushinda kirahisi sana.
vi. Huyu MWANDOSYA hana makundi ndani ya ccm, kama ilivyo kwa viongozi wako wa karibu wanasyndicate nyingi sana" they are chameone"( hypocracy) watch out. Hivyo itakusaidia sana kustabalize CHAMA pamoja na serikali kwa ujumla.
Vi. Huyu PRO.MWANDOSYA ni mchapa KAZI sana sana tena sana, katika jimbo lake huko tukuyu mbeya miaka ya 2004, jimboni kwake maji umeme vilikuwa vimefika kila kijiji, kila mtaa, umeme hivyo, hivyo,Barbara hivyo, hivyo,shule nk mpaka alipoamua mwenyewe kutokugombea tena ubunge, kustafu siasa mpaka leo wanamwitaji tena. Mtu huyu ana hekima, sana, ana utu sana.

Mh Rais nisikuchoshe sana bila shaka unaatimu Yako (state intelligence) wape KAZI ya vetting.

Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist Gabeji Taifa kwanza.
 
Attachments

  • IMG-20241002-WA0030.jpg
    IMG-20241002-WA0030.jpg
    104.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom