G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.