Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Hs
Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217
[/QUO
Hatari hii
 
Kila mtu unayekutana naye, ikiwa ni pamoja na wewe, hesabu kwamba ameambukizwa, hivyo chukua tahadhari kwa kuzingatia ushauri.
 
Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
Mbona Trump anatumia na ni ujinga wako kuwa wazee wasitumie mitandao ya kijamii nyakati hizi,je unataka watumie nini kujieleza au kuwasiliana,sijui unaishia dunia gani ndugu
 
Mbona Trump anatumia na ni ujinga wako kuwa wazee wasitumie mitandao ya kijamii nyakati hizi,je unataka watumie nini kujieleza au kuwasiliana,sijui unaishia dunia gani ndugu
Achana naye huyo.
 
Alisha Karibu huyu jamaa unakumbuka alitoa tamko la kupiga marufuku mikusanyiko hasa ya bar ila kesho yake akatengua
Mungu wa mbinguni aturehemu.

Huyu Albert Chalamila kazi yake ni kumdhibiti Sugu badala ya kupambana na Corona.
 
Hapana nipo Dar es Salaam mji wa kibiashara wa Nchi pendwa ya Tanzania.
Nchi hii Tanzania ni pendwa kwa kila Mtanzania, kila mzalendo na hasa kila mjamaa.
Haijalishi kabila, rangi wala jinsia~wafuasi wa Mwalimu.
 
huwezi mpangia mtu namna ya kufikiri?

Mtu anapotoa ushauri hampangii mtu namna ya kufikiri bali anamuonesha njia inayoweza kumpa mafanikio katika maisha yrke anapoona inamfaa!!! Ujinga wako ndio unakufanya usione hivyo!!!
 
Back
Top Bottom