griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
Ohh kumbe, nilifikiri ni kuokoa maisha kwanza halafu ndio twitter.
Mkuu prof mark ametweet baada ya mkuu wa wilaya kutuma police na madaktari kumkamata kijijini kwa mwandosya
Sasa sijui umeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app