Wapi tena kawa utoto?? Kutujuza kuwa kuna mgonjwa wa Covid 19 katoroka karantini Mbeya akasafiri hadi Lufilyo ni utoto?? Ameshangaa kuwa mtu huyu katorokaje hadi afike huko kijijini bila kukamatwa. Yaani watu ka hao walitakiwa ikijulikana tu kuwa kuna mtoro basi itangazwe "Fatwa" na kichwa chake kiwekwe hadharani. Huenda ikaleta hifu kwa wengine kutoroka.Sasa mbona anakuwa kama mtoto au ndo Uzee?
Usimwite tena mtoto mzee wetu