Mungu wa mbinguni aturehemu.Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217
Watige " atomic".......bwashee!Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Kubwa ka majuha umerudi tena!?Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Watige " atomic".......bwashee!
Kafundisha Udsm na ana machapisho kibao yeye na Prof Luhanga.
Dunia inamtambua.
Wewe ni moja wa wapumbavuHivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Mzee wa " Kyoto" huyo........ana mambo mengi kichwani.Sasa mbona anakuwa kama mtoto au ndo Uzee?
Kwani kaongea ubaya gani bwashee?Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
Wewe ni moja wa wapumbavu
Huyo Mark ni Professor wa Electronics and Electrical engineering,Hao ndio vijana wa Nyerere aliowaamini na kuwatuna wakapate maarifa ulaya na kuja kulitumikia Taifa
Amefundisha University of Dar es Salaam sana
Wapo akina Homel Mwakyusa hao ni vijana wa Nyerere
Unapoongelea vijana wa Nyerere basi hilo ni kundi la kina JK,Ben Mkapa,Salim Ahmed,Mwakyusa,Mwandosya
Kiongozi huyo Mwandosya na Mwakyusa ni moja ya watu hatari sana sana
Wamekwisha staafu
Kama umesoma vyuo vya kata na elimu ya kuunga unga huwezi yajua hayo ndio maana mnakosa heshima kwa wazee
You are gifted fool
Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Professor of Electrical engineering. And incase humfaham.. amefundisha UDSM 1977 hadi 1987.Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?