Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
So Mr President is in the right track???Sasa hilo ni kosa la Mzazi wako binafsi
Nenda kawaulize, Mateso ni individual level
Unapoongelea Maisha sema wewe, Ila wataalam wanaongelea maisha wanaongelea kesho na yajayo hata kama wao hawajafaidika
Badala ya Matango wewe unaandika matago,,, na bado unamsifia mwandosya,,,Mkuu hayo matago pori uliyolishwa na Magufuli kuhusu wasomi mpaka uje upate maziwa,corona ishafanya yake
Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217
[/QUO
Hatari hii
Mungu wa mbinguni aturehemu.
Huyu Albert Chalamila kazi yake ni kumdhibiti Sugu badala ya kupambana na Corona.
Kila mtu unayekutana naye, ikiwa ni pamoja na wewe, hesabu kwamba ameambukizwa, hivyo chukua tahadhari kwa kuzingatia ushauri.Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217
Kuna Maprofesa wawili tu Tanzania Mark Mwandosya na Mathew Luhanga teh teh tehHivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Kuna Maprofesa wawili tu Tanzania Mark Mwandosya na LuhangaWatige " atomic".......bwashee!
Kafundisha Udsm na ana machapisho kibao yeye na Prof Luhanga.
Dunia inamtambua.
Huyo mzee Ni next levelHivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Inaonekana huko Hospitalini wanakuwa wamewekwa Kama wanasubilishiwa Kufa na sio kupona
Mbona Trump anatumia na ni ujinga wako kuwa wazee wasitumie mitandao ya kijamii nyakati hizi,je unataka watumie nini kujieleza au kuwasiliana,sijui unaishia dunia gani nduguNadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
Hivi Kama wasomi waliharibu nchi yetu ilikuwaje Magufuli akawaondoa serikalini wenye vyeti fake? Je Ben Saa name Yuko wapi?Badala ya Matango wewe unaandika matago,,, na bado unamsifia mwandosya,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wa mbinguni aturehemu.
Huyu Albert Chalamila kazi yake ni kumdhibiti Sugu badala ya kupambana na Corona.
Nchi hii Tanzania ni pendwa kwa kila Mtanzania, kila mzalendo na hasa kila mjamaa.Hapana nipo Dar es Salaam mji wa kibiashara wa Nchi pendwa ya Tanzania.
huwezi mpangia mtu namna ya kufikiri?
Barbarosa kwani Mzee Mark kakosea nini mpaka umekua negative hivi...inasikitisha mapoyo yo yanaanza kudharua maintellectual!!unatapika uharo hapa mods wanakuangalia tu...!!!OK, basi labda amefikia peak na sasa grafu inaanza kushuka, wanasema tukizeeka IQ inashuka pia.