Wapi tena kawa utoto?? Kutujuza kuwa kuna mgonjwa wa Covid 19 katoroka karantini Mbeya akasafiri hadi Lufilyo ni utoto?? Ameshangaa kuwa mtu huyu katorokaje hadi afike huko kijijini bila kukamatwa. Yaani watu ka hao walitakiwa ikijulikana tu kuwa kuna mtoro basi itangazwe "Fatwa" na kichwa chake kiwekwe hadharani. Huenda ikaleta hifu kwa wengine kutoroka.Sasa mbona anakuwa kama mtoto au ndo Uzee?
Wewe ni moja wa wapumbavu
Huyo Mark ni Professor wa Electronics and Electrical engineering,Hao ndio vijana wa Nyerere aliowaamini na kuwatuna wakapate maarifa ulaya na kuja kulitumikia Taifa
Amefundisha University of Dar es Salaam sana
Wapo akina Homel Mwakyusa hao ni vijana wa Nyerere
Unapoongelea vijana wa Nyerere basi hilo ni kundi la kina JK,Ben Mkapa,Salim Ahmed,Mwakyusa,Mwandosya
Kiongozi huyo Mwandosya na Mwakyusa ni moja ya watu hatari sana sana
Wamekwisha staafu
Kama umesoma vyuo vya kata na elimu ya kuunga unga huwezi yajua hayo ndio maana mnakosa heshima kwa wazee
You are gifted fool
Facebook haina age limit.Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
Watige " atomic".......bwashee!
Kafundisha Udsm na ana machapisho kibao yeye na Prof Luhanga.
Dunia inamtambua.
Huyo Mwandosya ni moja ya maprofesa ambao maandiko yao kwenye mambo ya Climate change yameacha alama AfricaMzee wa " Kyoto" huyo........ana mambo mengi kichwani.
2005 alishika namba 3 kwenye kura za maoni kinyang'anyiro cha urais CCM usimchukulie poa comrade!
Alikuwa mojawapo wa Maprofessor kuli wa Electrical Engineering (EE) pale Udsm katika iliyokuwa ikiitwa Faculty of Engineeering (FOE).
Ahsante
Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Amkeni amkeni Mbeya,sasa ni muda wa kujifukiza na kuchapa kazi,serikali inataka revenueTweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217
Alikuwa UDSM miaka hiyo wewe ulikuwa kiunioni badoHivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Wewe ni moja wa wapumbavu
Huyo Mark ni Professor wa Electronics and Electrical engineering,Hao ndio vijana wa Nyerere aliowaamini na kuwatuna wakapate maarifa ulaya na kuja kulitumikia Taifa
Amefundisha University of Dar es Salaam sana
Wapo akina Homel Mwakyusa hao ni vijana wa Nyerere
Unapoongelea vijana wa Nyerere basi hilo ni kundi la kina JK,Ben Mkapa,Salim Ahmed,Mwakyusa,Mwandosya
Kiongozi huyo Mwandosya na Mwakyusa ni moja ya watu hatari sana sana
Wamekwisha staafu
Kama umesoma vyuo vya kata na elimu ya kuunga unga huwezi yajua hayo ndio maana mnakosa heshima kwa wazee
You are gifted fool
Ndio maana nikatanguliza neno " Nadhani" kwani huo ni mtazamo wangu kwamba kuna umri mtu ukifika matumizi ya mitandao ya kijamii unaachana nayo.
Hayo ndo maagizo aliyopewa na aliyemteuaMungu wa mbinguni aturehemu.
Huyu Albert Chalamila kazi yake ni kumdhibiti Sugu badala ya kupambana na Corona.
Wapi tena kawa utoto?? Kutujuza kuwa kuna mgonjwa wa Covid 19 katoroka karantini Mbeya akasafiri hadi Lufilyo ni utoto?? Ameshangaa kuwa mtu huyu katorokaje hadi afike huko kijijini bila kukamatwa. Yaani watu ka hao walitakiwa ikijulikana tu kuwa kuna mtoro basi itangazwe "Fatwa" na kichwa chake kiwekwe hadharani. Huenda ikaleta hifu kwa wengine kutoroka.
Usimwite tena mtoto mzee wetu
Mkuu hawa ni vijana wa Nyerere na Marafiki sana, JK, Ben Mkapa, Mwandosya na salim AhmedMkuu wengine hao hata ukiwafahamisha haisaidii.
Elimu wanapokuwa ni ya katani.
Hoja yangu ipo kwenye umri na matumizi ya mitandao ya kijamii , bwashee.Kwani kaongea ubaya gani bwashee?
Wakazi wa kwa Kondo wamemwelewa!
Electrical engineering yupo zaidi kwenye mambo ya administration alikuwa Chancellor apo Mbeya university of Science and technology ni Chair man pia wa board ya Stanbic Tanzania.Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?