Mkuu uko sahihiDunia nzima ni hivyo, labda Tanzania ni tofauti sijui, lkn Profesa kama siyo wa heshima na ni wa kusomea huwa wanakuwa kwenye research vyuoni na kufundisha, kufanya tafiti kwenye fani zao.
Watu wasio na faida kabisa kwenye jamii, mfano wewe, inabidi mjiself quarantine.Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
Wewe unaiona UDSM ya sasa ni sawa na ya miaka ya 1980. Waliitengeneza hasa Elimu ya Tanzania. Sahizi ndiyo imebomolewa. Kuna wakati UDSM iliwahi kuwa mpaka chuo cha 3 kwa ubora barani Afrika kutokana na maprofesa hawa nguli wa zamani. Tena wakati huo walikuwa bado ni doctors. Siyo udokta huu wa akina Mwigulu na hawa wengine ambao hata kupresent jambo kwa sentensi moja iliyo sawa katika content na ufasaha wa lugha ni shida!!Ametusaidia Nini Sasa na elimu yake hiyo tofauti na mateso tunayoyapata leo, mnataka kumlaumu Rais aliyepo madarakani mnasahau hawa wasomi waliotufikisha hapa, think big!
Eti mbobezi wa Electronics mavi kabisa,,,,kaisaidiaje nchi tofaut na kujifanya mwema baada ya kukosa ulaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndo habari rais anapenda kusikia,acha wachape kaziChangamoto ni usafiri wa Tukuyu-Lufilyo, ni Noah ambazo zinabeba hadi watu 15!!!!, ni mbanano na kupuliana, Mungu awanusuru
Nadhani hiyo ndiyo inafaa kwa sababu yeye hatupendi. Anataka tufe naye hivyo ni sahihi kumtanguliza yeye huko Akhera madukaniAtangazwe kisha mumuuwe kwa mawe?
Una umri mdogo kimwili lakini akili ni ya kikongwe. Umezeeka hasa.Mkuu mimi umri wangu bado unaruhusu kabisa matumizi ya JF.
Kwamba ukiitwa profesaa lazima ufundishe? Prof Lipumba na Prof Kitila wanafundisha wapi?Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
AIGIPII ZERO aende kumkamata Prof kwa kutangaza mgonjwa wa korona19.Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217
Hakuna aliyemsengenya hapa nimetoa maoni yangu tu, kama maoni yangu unaona ni kumsengenya hilo sasa ni tatizo lako wewe mwenyewe, deal with it.Ok kama havunji sheria yoyote haina haja kumsengenya.
You are entitled to your opinion.Una umri mdogo kimwilo lakini akili ni ya kikongwe. Umezeeka hasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu alikuwa anaenda kujifukizia kutii ushauri wa rais? Kabla ya ushauri huo ni mgonjwa gani alikuwa anatoroka hospitalini? Tena watu walikuwa wanajipeleka wenyewe,but now nani ataenda hospitalini.Mungu atunusuru tuKama huyo katoroka na anajua anaumwa pia anajua ataambukizawengine sasa mnaotaka watu wakae ndani kwa lockdown wakati wanajua hawaumwi, na njaa ikiwamchapa watakubali kweli?
Hapo ndo itakuwa kazi ya police na wanainchi, kisha mtapata cha kuongea eti police walitumia nguvu kubwa na unyanyasaji kwa raia.
Mkuu mbona hata wewe huna faida yeyote bwashee.Watu wasio na faida kabisa kwenye jamii, mfano wewe, inabidi mjiself quarantine.
Maoni yako ungeyatoa kwa mzee wako au yeye hujamnunulia Smartphone!!Hakuna aliyemsengenya hapa nimetoa maoni yangu tu, kama maoni yangu unaona ni kumsengenya hilo sasa ni tatizo lako wewe mwenyewe, deal with it.
Nadhani hiyo ndiyo inafaa kwa sababu yeye hatupendi. Anataka tufe naye hivyo ni sahihi kumtanguliza yeye huko Akhera madukani
grafu ishuke kwa kusema ukweli!? dah....wewe kilaza yanOK, basi labda amefikia peak na sasa grafu inaanza kushuka, wanasema tukizeeka IQ inashuka pia.
Kwani hujui kuwa Prof ni mwanaccm? Mbona hata mzalendo wetu alihonga nyumba ya serikali? Mkuu ukishasikia huyu Ni mwanaccm jua wizi na uharibifu wa Mali ya umma ni sera ya chama,hata ungekuwa wewe ungefanya hivyo tuHuyu aliyeuza TTCL kwa bei ya mkeka?
Na offer ya mwanaye kusomeshwa bure SA.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta biography zao utanielewaMbona wapo wengi sana wanaotumia hiyo Profesa au wao ndio wana hati miliki, BTW kama umewasifia hivyo ni lazima kuna makubwa wamefanya unaweza kuyaweka hapa?
Umeishiwa hoja comrade, nakuruhusu uendelee na mambo mengine sasa.Maoni yako ungeyatoa kwa mzee wako au yeye hujamnunulia Smartphone!!
Ahsante ila kumbuka adabu haiuzwi madukani!Umeishiwa hoja comrade, nakuruhusu uendelee na mambo mengine sasa.