Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Dunia nzima ni hivyo, labda Tanzania ni tofauti sijui, lkn Profesa kama siyo wa heshima na ni wa kusomea huwa wanakuwa kwenye research vyuoni na kufundisha, kufanya tafiti kwenye fani zao.
Mkuu uko sahihi
 
Ametusaidia Nini Sasa na elimu yake hiyo tofauti na mateso tunayoyapata leo, mnataka kumlaumu Rais aliyepo madarakani mnasahau hawa wasomi waliotufikisha hapa, think big!

Eti mbobezi wa Electronics mavi kabisa,,,,kaisaidiaje nchi tofaut na kujifanya mwema baada ya kukosa ulaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaiona UDSM ya sasa ni sawa na ya miaka ya 1980. Waliitengeneza hasa Elimu ya Tanzania. Sahizi ndiyo imebomolewa. Kuna wakati UDSM iliwahi kuwa mpaka chuo cha 3 kwa ubora barani Afrika kutokana na maprofesa hawa nguli wa zamani. Tena wakati huo walikuwa bado ni doctors. Siyo udokta huu wa akina Mwigulu na hawa wengine ambao hata kupresent jambo kwa sentensi moja iliyo sawa katika content na ufasaha wa lugha ni shida!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217
AIGIPII ZERO aende kumkamata Prof kwa kutangaza mgonjwa wa korona19.
 
Ok kama havunji sheria yoyote haina haja kumsengenya.
Hakuna aliyemsengenya hapa nimetoa maoni yangu tu, kama maoni yangu unaona ni kumsengenya hilo sasa ni tatizo lako wewe mwenyewe, deal with it.
 
Kama huyo katoroka na anajua anaumwa pia anajua ataambukizawengine sasa mnaotaka watu wakae ndani kwa lockdown wakati wanajua hawaumwi, na njaa ikiwamchapa watakubali kweli?
Hapo ndo itakuwa kazi ya police na wanainchi, kisha mtapata cha kuongea eti police walitumia nguvu kubwa na unyanyasaji kwa raia.
Mkuu huyu alikuwa anaenda kujifukizia kutii ushauri wa rais? Kabla ya ushauri huo ni mgonjwa gani alikuwa anatoroka hospitalini? Tena watu walikuwa wanajipeleka wenyewe,but now nani ataenda hospitalini.Mungu atunusuru tu
 
Hakuna aliyemsengenya hapa nimetoa maoni yangu tu, kama maoni yangu unaona ni kumsengenya hilo sasa ni tatizo lako wewe mwenyewe, deal with it.
Maoni yako ungeyatoa kwa mzee wako au yeye hujamnunulia Smartphone!!
 
Huyu aliyeuza TTCL kwa bei ya mkeka?
Na offer ya mwanaye kusomeshwa bure SA.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujui kuwa Prof ni mwanaccm? Mbona hata mzalendo wetu alihonga nyumba ya serikali? Mkuu ukishasikia huyu Ni mwanaccm jua wizi na uharibifu wa Mali ya umma ni sera ya chama,hata ungekuwa wewe ungefanya hivyo tu
 
Back
Top Bottom