Who is he please?Professor Matthew Luhanga ndie Mwanasayansi wa Zama hizi mwenye historia iliyotukuka duniani
Hajatokea wa kufananishwa nae. Ndio alihakikisha TTCL college Kijitonyama iwe sehemu ya UDSM (akiwa Mwenyekiti wa Bodi TTCL) na ndio hii inaitwa CoICT vijana wanapata maarifa kwa viwango vya kimataifa hapa hapa si nchini tu Bali ulimwenguni Ile ITP inatajwa Kama reform kubwa kwa Elimu ya juu duniani .Professor Matthew Luhanga ndie Mwanasayansi wa Zama hizi mwenye historia iliyotukuka duniani
Former UDSM Vice ChancellorWho is he please?
R.I.P prof Luhanga.Hajatokea wa kufananishwa nae. Ndio alihakikisha TTCL college Kijitonyama iwe sehemu ya UDSM na ndio hii inaitwa CoICT
Nimesikia kafariki dunia. Ni kweli?
“Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.”Profesa Mathew Luhanga, aliyewahi kuwa makamu mkuu wa chuo UDSM afariki dunia
tutamkumbuka msomi huyu kwa kubobea katika telecommunications, linguistics and environmental engineering!