masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Ama kweli dunia tambara bovu.
Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji
Umesahau kuwa Prof. Mbarawa pamoja Prof Janabi waliletwa na Kikwete kutoka huko walikokuwa wakifanya kazi nje ya nchi?Ama kweli dunia tambara bovu.
Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji....
Naona aligusa penye maslahi yako panapoumiza kweli, maanake nakumbuka wakati huo ulimwanzishia mada kama hii ya leo.Karibu Mbarawa.
Jamaa hana upendo na makandarasi wazalendo, na kandarasi za ujenzi ndiyo maisha yetu.Naona aligusa penye maslahi yako panapoumiza kweli, maanake nakumbuka wakati huo ulimwanzishia mada kama hii ya leo.
Huko kwenye kandarasi zenu naona kuna uozo mkubwa sana msiopenda uguswe. Sijui Magufuli mlimpendea nini, au ilikuwa ni kumwogopa, maanake sijawahi kusikia mkimlalamikia yeye. Pengine ni kwamba mlijua jinsi ya kula na kipofu?
Force Account ya Mbarawa inayoumiza makandarasi na CRB wapi na wapi?Muungano ni jambo kubwa kuliko hiyo CRB
Inawezekana ni kutomwelewa tu anachotaka mfanye.Jamaa hana upendo na makandarasi wazalendo, na kandarasi za ujenzi ndiyo maisha yetu.
Kama mama hatagombea 2025 huyu ndiye anaweza kuwa rais wa ima Zanzibar kama Mwinyi atagombea Muungano au JMT.Ama kweli dunia tambara bovu.
Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji..
No bro huyo jamaa yupo ok ila shinikizo la mwendazake ndio lilikuwa linamvuruga akiliAma kweli dunia tambara bovu.
Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji...
Amereplace 3 kwa 3; Hivi kwanini hawezi mtego akiwekewa?Hakuna kitu haoi zaidi ya kuwajaza wazenji wenzake tu na kina mama kwa kutaka aioate 50/50
Tumuombee amalizie kipindi chake akapumzike zake chake chakeAmereplace 3 kwa 3; Hivi kwanini hawezi mtego akiwekewa?
Barua hiyo ni kichaka tu cha dhamira iliyojificha.Inawezekana ni kutomwelewa tu anachotaka mfanye.
Hata mimi makandarasi wananchi nawapenda kweli kama wanafanya kazi zao bila ubabaishaji, kwa sababu kuinuka kwa hawa ndiyo kuinuka kwa taifa letu.
Naona kwenye barua uliyoibandika hapo juu, kuna malalamishi amabyo sijaona ukiyapatia jibu hapa. Je, kuna ukweli wowote juu ya hayo aliyoyalalamikia? Kama hayo mambo yapo, huoni kwamba ni haki yake kuwanyima kazi?
Inaeleweka, hakuna asiyetaka cha chee kama hakuna uangalizi mahususi, lakini vya chee ndivyo vinavyoturudisha nyuma katika maendeleo ya nchi yetu.