masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
-
- #21
Wizara ya maji kule ilikuwa kuwakomoa komoa makandarasi aliowaacha ujenzi.Professor Mbarawa alishawahi kuwa waziri wa Ujenzi na kwa mujibu wa Magufuli alisema hadharani kuwa ile wizara ilimshinda na hivyo kumuhamishia wizara ya maji. Ghafla leo analetwa tena wizara hiyo hiyo ya Ujenzi, kuna kitu gani kipya atafanya?
Nzee ya nsoga safiiiiiiUmesahau kuwa Prof. Mbarawa pamoja Prof Janabi waliletwa na Kikwete kutoka huko walikokuwa wakifanya kazi nje ya nchi?
Kwa Prof Jababi , JK alilamba dume.Umesahau kuwa Prof. Mbarawa pamoja Prof Janabi waliletwa na Kikwete kutoka huko walikokuwa wakifanya kazi nje ya nchi?
Wakandarasi wanajifikiria wao tuu kuna sehemu moja Prof Mbarawa alikuta TEMPERARY OFISI imejengwa kwa mabati kama kiosk million mia moja alikuwa huyu jamaa ndio maana anamchukia Ila Waziri Mbarawa na mchapakazi Sana hapendi rishwaNaona aligusa penye maslahi yako panapoumiza kweli, maanake nakumbuka wakati huo ulimwanzishia mada kama hii ya leo.
Huko kwenye kandarasi zenu naona kuna uozo mkubwa sana msiopenda uguswe. Sijui Magufuli mlimpendea nini, au ilikuwa ni kumwogopa, maanake sijawahi kusikia mkimlalamikia yeye. Pengine ni kwamba mlijua jinsi ya kula na kipofu?
Kwani hili ya kuinflate estimates za ukandarasi c lilikuwa linaonekana na mifano ii wazi.huyu mzee tatizo ni mtu wa maadili na mkweli sana,sasa kuna sekta hazitaki mtu wa namna hiyo maana ndio vichochoro vya upigaji.sasa ndio kama ulivyosema "usiyemtaka karudi tena" na uzuri serikali hii mawaziri wanafull powers over taasisi zao,vile viburi vya watendaji wakuu kufahamiana na mamlaka na kuleta dharau kwa mawaziri kwishney.Ama kweli dunia tambara bovu.
Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji.
Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi hana focused objectives.
Tutegemee nini sasa sekta hii ya ujenzi maana huku mwishoni aliwaita makandarasi kuwa wezi na akataka miradi yote ya Maji ifanywe kwa Force Account.
Karibu Mbarawa.
View attachment 1935511
Tutaelewana saana mwaka huu...bora yeshee ahaaaAma kweli dunia tambara bovu.
Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji.
Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi hana focused objectives.
Tutegemee nini sasa sekta hii ya ujenzi maana huku mwishoni aliwaita makandarasi kuwa wezi na akataka miradi yote ya Maji ifanywe kwa Force Account.
Karibu Mbarawa.
View attachment 1935511
Mkuu 'Masopa', ninakuaminia sana na kukuheshimu, lakini sijaona jibu la kuridhisha kuhusu kanusho la yaliyoandikwa ndani ya barua hiyo.Barua hiyo ni kichaka tu cha dhamira iliyojificha.
Hakuna mtu anaandika barua kuwa atawakomoa na mtakoma ubishi.
Lakini barua hiyo inaelekea huko.
Alisema hadharani kuwa "wizara imemshinda"?Professor Mbarawa alishawahi kuwa waziri wa Ujenzi na kwa mujibu wa Magufuli alisema hadharani kuwa ile wizara ilimshinda na hivyo kumuhamishia wizara ya maji. Ghafla leo analetwa tena wizara hiyo hiyo ya Ujenzi, kuna kitu gani kipya atafanya?
Kwa upande wa ujenzi wa barabara sidhani kama force account itafanikiwa kwa sababu nyenzo nyingi za ujenzi zipo kwa wakandarasi.Jamaa hana upendo na makandarasi wazalendo, na kandarasi za ujenzi ndiyo maisha yetu.
Tatizo la watu kupenda sifa.Wakandarasi wanajifikiria wao tuu kuna sehemu moja Prof Mbarawa alikuta TEMPERARY OFISI imejengwa kwa mabati kama kiosk million mia moja alikuwa huyu jamaa ndio maana anamchukia Ila Waziri Mbarawa na mchapakazi Sana hapendi rishwa
Wewe kaa chonjo waswahili husema hasidi haachi asili!Kwa upande wa ujenzi wa barabara sidhani kama force account itafanikiwa kwa sababu nyenzo nyingi za ujenzi zipo kwa wakandarasi.
Kivipi kuhusu Chamuriho,au alikuwa apokei rushwaBora mzee Chamuriho ametolewa ujenzi maana alikuwa mzigo mzito,
sasa Prof Mbarawa fuatilia ujenzi wa barabara,
alikuwa hawajibiki kabisaa, yani yupo kama hayupo......wizara ili dorora, alikuwa anazuga tu, bora kawekwa benchi.Kivipi kuhusu Chamuriho,au alikuwa apokei rushwa