Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Kwa hiyo alikuwa anasubiri atolewe,bora hajauliwa maisha yaendeleealikuwa hawajibiki kabisaa, yani yupo kama hayupo......wizara ili dorora, alikuwa anazuga tu, bora kawekwa benchi.
Sasa Prof Mbarawa ni Mfuatiliaji mzuri, ila tunamuomba awe mkali, tunafahamu kuwa hapo wizarani kuna vidudu watu, tunawafahamu kwa majina yao.
Huijui Force Account wewe. Kaa kimya!Yuko kimkakati zaidi, kwenye FORCE ACCOUNT ndiko kunatafunika mpunga kirahisi
Lets wait and see!Mstaarabu sana; kwa kusudi la kulinda kibarua chake, alijifanya kuwa na vurugu wakati wa Utawala wa lile jambazi la Kihutu, lakini siyo hulka yake!