Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

Bullets train
 

Attachments

  • Screenshot_20221126_192708.jpg
    93.9 KB · Views: 5
Tokea mwanzo nilikuwa ninajua hiyo habari ya treni ya umeme ni uongo wa dhahiri. Na tulisema yule baba wa uongo haaminiki. Kwa sasa kinachoendelea ni muendelezo wa ule uongo wa yule mkuu wa uongo aliyeko jehanamu.
Magufuli hakuwa muongo na treni za mchongoko alikuwa kashazilipia. Kosa ilikuwa yeye kufa mapema ila angekuwepo zingeshakuja. Kuna mtu aliingilia hio tender akabadili terms akaihamishia kwengine ambako watanunua vya bei chee na kubakia na chenchi.
 
Hapanaa hapanaaa, Mambo yamebadilishwa hapa mwishoni..huoni reli iko vizuri tuu?
Tunataka mkataba alioacha JPM ndio uendelee sio huo waliobadilisha kwa kisingizio cha kijinga kumbe lengo ni kutupiga.
 
Haya mabehewa ni Highlow Speed. Yaani ni tolea la katikati ukiyaangalia ni kama Low speed lakini wakati flani ni High ndo maana hata picha zake zinawachanganya maana inategemeana zimepigwa wakati gani
 
Tunataka mkataba alioacha JPM ndio uendelee sio huo waliobadilisha kwa kisingizio cha kijinga kumbe lengo ni kutupiga.
Mitanzania imeshazoea kupigwa ndo maana unaona inaendeshwa hivi. Jamaaa hapo tayari wameshabadilisha mabehewa kwa pesa ile ile ya kwanza ambayo utakuta wamegawana.
 
Hivi hawa ccm watatuchanganya hivi hadi lini?
Au wana ndoa na shetani?
Kila kukicha wana "version" mya ya uongo!
 
Ni SGR mkuu, aliyewaambia ni high speed (Bullet train) aliwadanganya mchana kweupe, hii ya kwetu inaweza hata isifike 180km/hr..... nadhani itakuwa between 100 and 150km/hr max
Wew unaona kwa hayo mabehewa 150km/h sitaweza kweli kufikia
 
"Limradi lenyewe lishakuwa white elephant hili"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…