Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

Tutasikia Mengi sana, yaani hapa Kuna uongo mtakatifu, kama Hawa mbwa waliweza kudanganya kuhusu tilioni 300, kwa nini wasidanganye kuhusu SGR?
 
Tokea mwanzo nilikuwa ninajua hiyo habari ya treni ya umeme ni uongo wa dhahiri. Na tulisema yule baba wa uongo haaminiki. Kwa sasa kinachoendelea ni muendelezo wa ule uongo wa yule mkuu wa uongo aliyeko jehanamu.
 

Ukishaona watu wanaiba uchaguzi ili wakae madarakani kwa shuruti, utakuwa mjinga kuamini mipango ya hilo kundi la matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…