Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia kupigwa na kitu kizito kisogoni, ndiyo huku sasa!!
johnthebaptist hii nchi ni shida. Viongozi hutuona watanzania hatuna akili. Kulikuwa na sababu gani kutudanganya hapo mwanzo na picha za vichwa mchongoko?? Ila tukumbuke kilikuwa kipindi cha bwana yule, ambaye kudanganya ilikuwa ni sifa nzuri.View attachment 2427447
Kwahiyo hao walitutapeli?
Tukiisha anza kuitana watu wasio na nia njema!, kama naanza kuogopa ogopa hivi!, hivi kwa bandiko kama hili... Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!, hivi viji tenda vya kutangaza uzuri wa tereni hizi mupya, tutapata kweli?.Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema
Source ITV Habari
Na June yanakuja mabehewa ganiZa kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu( economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
MjusiNa June yanakuja mabehewa gani
Hata mimi ningeshangaa umeme, maji tabu tupu hiyo hela ya kununua treni mchongoko kama zile pendolino za muitaliano sisi makapuku tungetoa wapi. Haya tuleteeni hizo ngo ngo ngo
Tutasikia Mengi sana, yaani hapa Kuna uongo mtakatifu, kama Hawa mbwa waliweza kudanganya kuhusu tilioni 300, kwa nini wasidanganye kuhusu SGR?Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa
Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu( economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Source ITV Habari
Kama speed yake ni 160km/h maana yake Dar-Moro 183km itakua ni 1hr 30mns hadi 2hrsKwa hiyo wenye mabasi wataendelea kupeta.masaa yatakuwa yale yale dar moro masaa manne .
Tukiisha anza kuitana watu wasio na nia njema!, kama naanza kuogopa ogopa hivi!, hivi kwa bandiko kama hili... Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!, hivi viji tenda vya kutangaza uzuri wa tereni hizi mupya, tutapata kweli?.
P