Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

Kwahiyo unakubalina naye kuwa ile picha ya treni mchongoko ni feki! Hiyo ya spidi ni kupoteza hoja na haina uhusiano na mabehewa chakavu. Hebu bofya kwenye ile picha utaona mambo ya ziada yaliyowekwa na TRC ikiwemo ajali ya behewa huko mikoani.
 
Waweke picha ili tuwasute vizuri.
Wewe kama una uhakika na unachokisema kwa nini uogope wao kusutana? Unaficha nini?
Mbona picha zimo nyingi sana kwenye Post inayohusu mabehewa haya, kwa sasa naona muhimu watuambie mwaka wa kuundwa na bei ya kila behewa badala ya bei ya jumla, huko tutasikia vituko na mikanganyiko.
 
Kwahiyo unakubalina naye kuwa ile picha ya treni mchongoko ni feki! Hiyo ya spidi ni kupoteza hoja na haina uhusiano na mabehewa chakavu. Hebu bofya kwenye ile picha utaona mambo ya ziada yaliyowekwa na TRC ikiwemo ajali ya behewa huko mikoani.
Hivi umeshaona tangazo la Macdonald? lile burger kwenye picha ndio unalo nunua? Matangazo yawekwa kuvutia mnunuzi ni kawaida tu hata mke kwenye picha zake kwenye simu yake sio kama navyomuona mimi kuna tofauti kule mweupeee
 
Bora huyu kawa mkweli hajazunguuka sana kuremba muandiko

Asante sana mheshimiwa.
 
Kwa hiyo hii ya kwetu Tanzania ni high speed size ya kati ipi? Nchi hii nachokaga kabisa!!!
Umesahau Pm alienda huko juzi kuweka mambo sawa?
Kuna uchaguzi 2025 bro!!!
Tanzania tumesha onekana ni mazuzu. Viongozi ndio wenye akili tuu.
 
Hivi umeshaona tangazo la Macdonald? lile burger kwenye picha ndio unalo nunua? Matangazo yawekwa kuvutia mnunuzi ni kawaida tu hata mke kwenye picha zake kwenye simu yake sio kama navyomuona mimi kuna tofauti kule mweupeee

Kwa hivyo Serikali imeiga kwa McDonald?. Serikali yetu ni laghai.
 
Wewe utakuwa na mimba ya mwendazake siyo bure!! Mwache amepumzika mbinguni wewe fanya yako. Kama unashindwa kulea mimba hiyo njoo tukusaidie. Pole sana.
 
Tayari tumeishapigwa hapo ccm haifai
 
Sasa la kujiuliza......ilikuwa na maana Gani kutoa tireni la mkoloni harafu tena kutumia matirioni kurudisha mtireni WA kikoloni ule ule Kwa njia nyingine?? Nasema hivi wasomi WA Tanzania ni midude isiyoelewa kabisa yenyewe kazi kuiba Tu ni mijizi balaaa badala ya kuifanyia maendeleo nchi yenyewe ni kuiba harafu kuja na utetezi WA kishamba shamba sijui wanatuona wote ni level za cheke chea??
 
Ni lini JPM aliwaambia kwamba ni High Speed Trail?!

Tangu zamani ilitangazwa kwamba reli inayojengwa itawezesha treni kutembea kwa mwendokasi wa 160KM/saa. Sasa huo ndo mwendo kasi wa high speed train?

Kama ni hivyo kwa Nini tunajenga reli nyingine.
 
Kila siku kuna kitu kipya. Ina maana specifications zimebadilika? Au nini kinaendelea? Haya mambo yanaleta maswali mengi na kusema kweli yanazua sintofahamu bila sababu za msingi. Tunapata mashaka kama statements zinabadilika kila siku. Toka mwanzo reli ilijengwa kwa specifications za treni za aina gani? Kuna nini?
 
Kwanini iletwe mwakani na sio leo. Kumbuka kipande Cha Dar Moro kimeisha, na hicho Ni masafa mafupi. Sasa wameleta ya masafa marefu kwenda wapi?.
Bado wenyewe wanayatumia baada ya hapo watatuuzia sisi. Mtu anatangaza kuiuza gari yake mwezi wa tatu mwaka kesho, wewe inajitokeza mnakubaliana bei ya mwaka kesho siyo ya leo ambayo ni kubwa.
 
Ni lini JPM aliwaambia kwamba ni High Speed Trail?!

Tangu zamani ilitangazwa kwamba reli inayojengwa itawezesha treni kutembea kwa mwendokasi wa 160KM/saa. Sasa huo ndo mwendo kasi wa high speed train?

Mmeanza kubadilishana usemi. Kama sio high speed treni ina faida gani? Au mlifanya kuwaiga Kenya. Bora nipande Happy National Luxury dar to Mwanza kuliko hizo treni nikeshe njiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…