Mbona hata michoro ya nyumba ya 3D na uhalisia vitu fofauti halfu bila kusahahu hata wanawake zetu mbona mitandaoni picha zao na ukikutana nao vitu tofauti
Leo tofauti wamesema masaa mangapi? maana sijaona mtu akisema masaa mangapi labda sijaona labda sehemu kasema itatumia masaa 24 mimi sijaona.Please, tusihalalishe uongo kwa. Lugha nyepesi. Tuliambiwa kutoka Mwanza mpaka dar masaa nane, Leo ni tofauti.
Silaha yako piga kura unayemtaka 2025 haya mengine tuache.Umesahau Pm alienda huko juzi kuweka mambo sawa?
Kuna uchaguzi 2025 bro!!!
Tanzania tumesha onekana ni mazuzu. Viongozi ndio wenye akili tuu.
Mbingu ya wapi shetani yule? Acha masihara basiWewe utakuwa na mimba ya mwendazake siyo bure!! Mwache amepumzika mbinguni wewe fanya yako. Kama unashindwa kulea mimba hiyo njoo tukusaidie. Pole sana.
Asante bwana MAELEZO.
Magu alikuwa na vionjo na vitu vizuri, alikuwa na jicho la kutambua thamani halisi ya kitu, alitamani mambo mazuri ya kisasa yafanyike hapa hapa. Ameondoka na ndoto zake biła kuwa na mtu wa kuendeleza. Angalia ile meli ya Mwanza, chupuchupu kukwama.Uchawa ulikua wa hali ya juu enzi zileeeee,?
Au kama siyo je magu angewepo mungeleta vichwa kama hivi?
Kawaida ya kichwa kiwe na ncha sasa hii flat ni shida 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Serikali ya wahuni imeingia so wameshapiga hela wanatuletea uswahili.Chawa wa magu enzi zile
Shetani hakai mbinguni. Shetani anakaa duniani kama wewe ulivyo shetani unahangaika na Mwendazake aliyemaliza majukumu yake ya duniani na kuelekea mbinguni. Pole sana.Mbingu ya wapi shetani yule? Acha masihara basi
Yuko kuzimuShetani hakai mbinguni. Shetani anakaa duniani kama wewe ulivyo shetani unahangaika na Mwendazake aliyemaliza majukumu yake ya duniani na kuelekea mbinguni. Pole sana.
Ha ha ha we jamaa nimecheka sana hii nchi ngumu sana jamaa.Kwa hiyo hii ya kwetu Tanzania ni high speed size ya kati ipi? Nchi hii nachokaga kabisa!!!
Kwa mwalimu wako wa chekecheaNdio wapi huko?
Anaitwa nani?Kwa mwalimu wako wa chekechea
Wakati mradi unaanzishwa chini ya Rais Magufuli, tulielezwa kabisa kwamba treni itakuwa ya mwendo kasi ikichukua saa 8 tu kufoka Mwanza hadi Dar. Sasa kukanusha huku kunatoka wapi?Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.
Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Source ITV Habari
Kwa Bus Mwanza - Dar inachukua muda gani kama trafiki hawapo Barabarani?Wakati mradi unaanzishwa chini ya Rais Magufuli, tulielezwa kabisa kwamba treni itakuwa ya mwendo kasi ikichukua saa 8 tu kufoka Mwanza hadi Dar. Sasa kukanusha huku kunatoka wapi?
Nchi hii kila mtu anavutia kwakeSerikali ya wahuni imeingia so wameshapiga hela wanatuletea uswahili.
Truphena Manyang'unyang'uAnaitwa nani?