Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

Mbona hata michoro ya nyumba ya 3D na uhalisia vitu fofauti halfu bila kusahahu hata wanawake zetu mbona mitandaoni picha zao na ukikutana nao vitu tofauti

Please, tusihalalishe uongo kwa. Lugha nyepesi. Tuliambiwa kutoka Mwanza mpaka dar masaa nane, Leo ni tofauti.
 
Please, tusihalalishe uongo kwa. Lugha nyepesi. Tuliambiwa kutoka Mwanza mpaka dar masaa nane, Leo ni tofauti.
Leo tofauti wamesema masaa mangapi? maana sijaona mtu akisema masaa mangapi labda sijaona labda sehemu kasema itatumia masaa 24 mimi sijaona.
 
Umesahau Pm alienda huko juzi kuweka mambo sawa?
Kuna uchaguzi 2025 bro!!!
Tanzania tumesha onekana ni mazuzu. Viongozi ndio wenye akili tuu.
Silaha yako piga kura unayemtaka 2025 haya mengine tuache.
 
Uchawa ulikua wa hali ya juu enzi zileeeee,?
Au kama siyo je magu angewepo mungeleta vichwa kama hivi?
Kawaida ya kichwa kiwe na ncha sasa hii flat ni shida 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Magu alikuwa na vionjo na vitu vizuri, alikuwa na jicho la kutambua thamani halisi ya kitu, alitamani mambo mazuri ya kisasa yafanyike hapa hapa. Ameondoka na ndoto zake biła kuwa na mtu wa kuendeleza. Angalia ile meli ya Mwanza, chupuchupu kukwama.
Huku kwenye SGR viongozi wa sasa wamechanganyikiwa, Hawana hakika EMU inatumika wapi? Trams za mijini zinachukuliwa sawa na EMU.
Mabehewa sasa ndio kichekesho.....Basi tungejenga reli kama Kenya badala ya kushikia bango mwendokasi 160km/saa. Du! 😕
 
Hizo picha zote ni za TRC sio zetu.

Tuna haki ya kuuliza.
 
CCM sio wa kuwaamini kabisa,kama waliweza kuiba uchaguzi na kutuambia wameashinda kwa kishindo na macho makavu tutaendelea kudanganywa sana.

Hii treni hata kama itaenda 160 kph,kwanini TRL walipost treni yenye muonekano tofauti na hii?Hata kama ni kweli zile treni za high speed in ghali,kwani wanashindwa kuongea na watengenezaje wajadizaini kichwa na mabehewa mazuri yenye muonekano?

Viongozi wa Serikali muache ushamba,hela tunatoa wenyewe kwanini tusitengenezewe kitu kizuri?
 
Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.

Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.

Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class

Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa

Source ITV Habari
Wakati mradi unaanzishwa chini ya Rais Magufuli, tulielezwa kabisa kwamba treni itakuwa ya mwendo kasi ikichukua saa 8 tu kufoka Mwanza hadi Dar. Sasa kukanusha huku kunatoka wapi?
 
Wakati mradi unaanzishwa chini ya Rais Magufuli, tulielezwa kabisa kwamba treni itakuwa ya mwendo kasi ikichukua saa 8 tu kufoka Mwanza hadi Dar. Sasa kukanusha huku kunatoka wapi?
Kwa Bus Mwanza - Dar inachukua muda gani kama trafiki hawapo Barabarani?
 
Back
Top Bottom