Prof Mchembe: Wanaoruhusiwa kutoa taarifa za Afya ni Waganga wa Mikoa na Wilaya siyo Wanasiasa

Mbona wanasema tuvae condom (za kike na kiume) na viashiria vinaonyesha kuwa hatufanyi hivyo- mkuu hili la barakoa halitakuwa kama la condom kweli?
 
 
Tatizo la wizara ya afya, wasemaji wakuu wa hiyo wizara wanaongea kilugha aina moja,sasa umefikia pahali kila mmoja anasema chake. Uwezo wa Dr mole + Dr Dorothy = Ummy mwalimu
 
Vaa barakoa,nawa na maji tirirka,epuka msongamano...
 
"Chorela" ndo ugonjwa gani
 
Sote tulijua Gwajima alitokota. Msemaji wa mambo ya afya katika eneo husika ni yule mkuu wa sekta hiyo kwa eneo husika.
 
Prof Mchembe, the best vascular Surgeon East and Central Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…