Kabla ya kuongezwa madarasa, yale ya covid 19 n.k, tayari kulikuwa na upungufu mkubwa. Wastani wa hadi walimu 8 kwa shule (wastani wa chini).
LEO, kuna wimbi kubwa la ujenzi wa mashule. Kuna halmashauri zina jumla ya shule hadi nane (primary na sekondari) zikiwa zimeshapata usajili na kufunguliwa. Wanafunzi wanaflow huko kwa kasi kubwa.
TATIZO WALIMU SASA, Wanamegwa kutoka katika hawa hawa wachache waliopo, na kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi. Uchunguzi wangu unaonyesha wastani wa wa chini wa upungu wa walimu ni 15 sasa.
Naona kama hili ni suala linahitaji uamuzi wa haraka lakini naona kimya.
Waziri, hivi Madame President anaijua kweli hali hiii? Au mnajua hawapo mtaani?