Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 625
KashesheWote ni arts
Kwani primary school kunaitaji science au arts
Primary school Kwa level ya degree hakuna specialization....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KashesheWote ni arts
Kwani primary school kunaitaji science au arts
Primary school Kwa level ya degree hakuna specialization....
Pole Mzee, mungu amtupi mja wake 🙏Bado Dunia haipo fair yaan wakati Tupo chuo kikuu hapa hapa DSM
Mwaka wa mwisho tukielekea kuumaliza,
nili mpokea mdogo angu kuja kuanza form five shule Moja mashuhuli hapa hapa mkoan pwani.....
Baadae dogo alifanikiwa kwenda UDOM na alisomea UALIMU.....
Kuna rafk angu I know the guy very well jamaa alikua anasomea UALIMU mm nikiwa course tofaut na wenzake walipenda kumwita KITIVO
aliitwa KITIVO kutokana na akili kubwa na uwezo MKUBWA wa kufundisha watu na wakaelewa....
Hata mdogo angu Huyu nilie mpokea alifundishwa na jamaa....
Maajab ya MUNGU WALIFANYA application na dogo....dogo kapata post huko Iringa vijijini.....
Still KITIVO yupo mtaan.....I come to realize Kuna watu wana bahati sanaa...
Sometimes roho Huwa inaniuma Kwa ajili yake....yaan kama kujitolea kesha jitolea sana huko morogoro vijijini....
Mbaya Zaid Kuna WALIMU vilaza wapo kwenye payroll....au watu wengine wamezaliwa ku suffer...
Sio Mimi lakiniPole Mzee, mungu amtupi mja wake 🙏
Ndio wewe sio mwalimuSio Mimi lakini
Sijawai na siweziNdio wewe sio mwalimu
Hata kama upo mji ulioendelea kuliko yote, Dar, basi tembelea shule iliyo jirani nawe tu kisha ulete mrejesho hapa. Nazungumzia ya umma, sio private!
Hilo kweli aisee; nina ndugu yangu amemaliza degree, bachelor of education in primary education, tangu 2018 lakini mpaka leo hakuna kinachoeleweka.......yupo tu anahangaika na kujitolea. Umri unaenda, wadogo zake wanaomaliza 2019,2020,2021 wanaajiriwa ye yupo tu. Inauma kweli lkn ndo hivyo, wenye nafasi wameamua.Bado Dunia haipo fair yaan wakati Tupo chuo kikuu hapa hapa DSM
Mwaka wa mwisho tukielekea kuumaliza, nilimpokea mdogo angu kuja kuanza form five shule Moja mashuhuli hapa hapa mkoan pwani. Baadae dogo alifanikiwa kwenda UDOM na alisomea UALIMU.
Kuna rafk angu I know the guy very well jamaa alikua anasomea UALIMU mm nikiwa course tofaut na wenzake walipenda kumwita KITIVO aliitwa KITIVO kutokana na akili kubwa na uwezo MKUBWA wa kufundisha watu na wakaelewa. Hata mdogo angu Huyu nilie mpokea alifundishwa na jamaa.
Maajab ya MUNGU WALIFANYA application na dogo....dogo kapata post huko Iringa vijijini.
Still KITIVO yupo mtaan. come to realize Kuna watu wana bahati sana.
Sometimes roho Huwa inaniuma Kwa ajili yake....yaan kama kujitolea kesha jitolea sana huko morogoro vijijini.
Mbaya Zaid Kuna WALIMU vilaza wapo kwenye payroll....au watu wengine wamezaliwa ku suffer.
Nafasi za ajira,nina uhakika watatangaza tena mwaka huu,aendelee kuomba Kama wengine tutakavyoomba,ila sasa kinachokuja kushangaza sasa,yaani mtu aliyemaliza 2021 au 2020 anapangiwa shule,huyo wa 2018 au sisi wa 2017 tunaachwa.Hilo kweli aisee; nina ndugu yangu amemaliza degree, bachelor of education in primary education, tangu 2018 lakini mpaka leo hakuna kinachoeleweka.......yupo tu anahangaika na kujitolea. Umri unaenda, wadogo zake wanaomaliza 2019,2020,2021 wanaajiriwa ye yupo tu. Inauma kweli lkn ndo hivyo, wenye nafasi wameamua.
Yaani mngejua jinsi hawa walimu wanavyozembea huko mashuleni, acha tu. Mtu anaingia darasani mara moja kwa wiki.Anajua na walimu tunawaandaa kuwapeleka,tatizo muda ndo haujulikani
Acha uongo wako wewe international conmanYaani mngejua jinsi hawa walimu wanavyozembea huko mashuleni, acha tu. Mtu anaingia darasani mara moja kwa wiki.
Wapeni motisha..imagin mwalimu anapokea mshahara laki mbili na elfu kumi🤣 halafu anadeni la laki moja na nusu. Teaching allowance ni dawa ya haya yoteYaani mngejua jinsi hawa walimu wanavyozembea huko mashuleni, acha tu. Mtu anaingia darasani mara moja kwa wiki.