Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Labda Opportunity Cost atatueleza zaidiMbona research kibao zinaonyesha kina mama huko elimu hawana.
Hizo research kibao ziko wapi?Mbona research kibao zinaonyesha kina mama huko elimu hawana.
Safi kabisa ,kwa kimo ndivyo tulivyo ila kwa mengine huo ni uongo,,ingekuwa tuna udumavu wa akili usingekuta engr Mfugale,Dr Sanga ,Dr Mhenge,Dr Chaule na wengine wengi wengi wengi ..Acheni kulishwa Michembe mnaamini upuuzi.Ndio walivyoumbwa hao
Tafuta kamanyi,E 2012. Profes w Udsm
Mambo mengine hayahitaji hata research ,Timu ya Taifa imejaa watu kama akina Manura na Samantha sasa hapo kuna haja ya research?Tafuta kamanyi,E 2012. Profes w Udsm