Prof. Mkenda: Wanafunzi watakaopata mimba hawataruhusiwa kurejea madarasani na Vichanga wao

Prof. Mkenda: Wanafunzi watakaopata mimba hawataruhusiwa kurejea madarasani na Vichanga wao

Wakuu vipi ile miaka 30 bado ipo au tumesamehewa?
 
Haya mambo mengine ni kama kutazama movie ya kusikitisha, huko madarasani sijui patakuwa na picha gani mbele ya safari tuendako, harufu ya maziwa itakuwa ndio perfume ya wanafunzi.
Wasiruhusiwe kwenda na watoto utengenezwe utaratibu mzuri. Hapa wanatetewa watoto wa maskini hakuna familia inayojiweza ambayo itamuacha binti yao aliepata ujauzito asiendelee na masomo. Wengi wakijifungua wanahamishwa shule nyingine wanaendelea na masomo.
 
Back
Top Bottom