Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Kwani kwenye uprof ana nini?Kitilla ukiacha Uprofesa wake, hana uwezo wa jambo lolote liingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kwenye uprof ana nini?Kitilla ukiacha Uprofesa wake, hana uwezo wa jambo lolote liingine
Weka link please...Tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana chini ya kituo cha Star TV, uliongozwa na Chief Odemba.
CHADEMA iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface, CCM iliwakilishwa na Prof. Mkumbwa, na ACT Wazalendo walikuwa na Makamu Mwenyekiti wao.
Prof., kwa akili kabisa, alikiri kuwa wapinzani walienguliwa. Aliulizwa swali: "Ni sheria gani inasema mgombea akishindwa kujaza fomu aenguliwe?" Prof. alishindwa kujibu swali hilo, lililoulizwa na Boniface wa CHADEMA.
Ukimwangalia Prof., sura yake inaonesha wazi kuwa ndani ya nafsi yake anasumbuliwa sana kwa matokeo ya uchaguzi. Hana raha kabisa, japo ndiye aliyetumwa na chama chake cha CCM.
NB: CCM imeshinda uchaguzi, lakini hawana furaha kabisa. Watanzania wamekata tamaa.
Think tank ya CCM inapaswa kukaa chini na kujiuliza: kipi bora, ushindi wa 99% 💯 au uhai wa Watanzania?
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilisti wenu, Gabeji.
"Think tank ya CCM inapaswa kukaa chini na kujiuliza: kipi bora, ushindi wa 99% 💯 au uhai wa Watanzania?" Jibu la CCM ushindi wa kura ni muhimu zaidi, waliouawa ni wanachadema na hakuna taarifa za kuawa mtanzania.Tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana chini ya kituo cha Star TV, uliongozwa na Chief Odemba.
CHADEMA iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface, CCM iliwakilishwa na Prof. Mkumbwa, na ACT Wazalendo walikuwa na Makamu Mwenyekiti wao.
Prof., kwa akili kabisa, alikiri kuwa wapinzani walienguliwa. Aliulizwa swali: "Ni sheria gani inasema mgombea akishindwa kujaza fomu aenguliwe?" Prof. alishindwa kujibu swali hilo, lililoulizwa na Boniface wa CHADEMA.
Ukimwangalia Prof., sura yake inaonesha wazi kuwa ndani ya nafsi yake anasumbuliwa sana kwa matokeo ya uchaguzi. Hana raha kabisa, japo ndiye aliyetumwa na chama chake cha CCM.
NB: CCM imeshinda uchaguzi, lakini hawana furaha kabisa. Watanzania wamekata tamaa.
Think tank ya CCM inapaswa kukaa chini na kujiuliza: kipi bora, ushindi wa 99% 💯 au uhai wa Watanzania?
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilisti wenu, Gabeji.
Eti hawana wakati walichokitaka ni kushinda na wameshinda kwa kishindo, halafu dogo mitandaoni eti hawana raha! Ahahahahaha!!!Huwa mnajifariji sana badala mfanye siasa muwaeleze watu sera zenu nyie mnapiga porojo mitandaoni
Sio kujifariji CCM wizi umekua mwing sana yan ad marehemu wamepiga kula sjui walifufukaHuwa mnajifariji sana badala mfanye siasa muwaeleze watu sera zenu nyie mnapiga porojo mitandaoni
CCM hawakushinda uchaguzi blii wamepora uchaguzi.Tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana chini ya kituo cha Star TV, uliongozwa na Chief Odemba.
CHADEMA iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface, CCM iliwakilishwa na Prof. Mkumbwa, na ACT Wazalendo walikuwa na Makamu Mwenyekiti wao.
Prof., kwa akili kabisa, alikiri kuwa wapinzani walienguliwa. Aliulizwa swali: "Ni sheria gani inasema mgombea akishindwa kujaza fomu aenguliwe?" Prof. alishindwa kujibu swali hilo, lililoulizwa na Boniface wa CHADEMA.
Ukimwangalia Prof., sura yake inaonesha wazi kuwa ndani ya nafsi yake anasumbuliwa sana kwa matokeo ya uchaguzi. Hana raha kabisa, japo ndiye aliyetumwa na chama chake cha CCM.
NB: CCM imeshinda uchaguzi, lakini hawana furaha kabisa. Watanzania wamekata tamaa.
Think tank ya CCM inapaswa kukaa chini na kujiuliza: kipi bora, ushindi wa 99% 💯 au uhai wa Watanzania?
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilisti wenu, Gabeji.
🚮Huwa mnajifariji sana badala mfanye siasa muwaeleze watu sera zenu nyie mnapiga porojo mitandaoni
Alikuwa DC wa Longido,si Arumeru.CCM hawakushinda uchaguzi blii wamepora uchaguzi.
Hakuna mwanaccm yeyote anayeweza kushika msahafu wa imani yake akaapa kuwa CCM wameshinda uchaguzi huu.
Maneno ya Nape na yule DC wa Areumeru aliyetenguliwa yamethibitika kupitia huu uchaguzi.
Maandamano hayana lengo la kuua watu, yana lengo la kuamsha umma kukataa mauajiSa nyie CHADEMA kila kukicha munawaza maandamano, hao watanzania mutawaakikishia uhai wao muda gani!?
Muuza mayai lakini aliyesoma! Wewe hapo una nini kama siyo kuning'iniza mananihii tuu!Prof kushindwa kujibu swali la muuza mayai
Uporofesa wa siasa nao ni uprofesa huo?Kitilla ukiacha Uprofesa wake, hana uwezo wa jambo lolote liingine
Umekula lakini?isijekuwa njaa imepanda kichwani unavamia kila mtu bila kuelewaMuuza mayai lakini aliyesoma! Wewe hapo una nini kama siyo kuning'iniza mananihii tuu!
Wa ualimu bana! Mwalimu mkuu huyuUporofesa wa siasa nao ni uprofesa huo?