Prof. Mkumbo ameshindwa kujibu maswali ya Boniface wa CHADEMA kwenye mdahalo wa Tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana chini ya kituo cha Star TV, uliongozwa na Chief Odemba.

CHADEMA iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface, CCM iliwakilishwa na Prof. Mkumbwa, na ACT Wazalendo walikuwa na Makamu Mwenyekiti wao.

Prof., kwa akili kabisa, alikiri kuwa wapinzani walienguliwa. Aliulizwa swali: "Ni sheria gani inasema mgombea akishindwa kujaza fomu aenguliwe?" Prof. alishindwa kujibu swali hilo, lililoulizwa na Boniface wa CHADEMA.

Ukimwangalia Prof., sura yake inaonesha wazi kuwa ndani ya nafsi yake anasumbuliwa sana kwa matokeo ya uchaguzi. Hana raha kabisa, japo ndiye aliyetumwa na chama chake cha CCM.

NB: CCM imeshinda uchaguzi, lakini hawana furaha kabisa. Watanzania wamekata tamaa.

Think tank ya CCM inapaswa kukaa chini na kujiuliza: kipi bora, ushindi wa 99% 💯 au uhai wa Watanzania?

Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilisti wenu, Gabeji.
Weka link please...
 
"Think tank ya CCM inapaswa kukaa chini na kujiuliza: kipi bora, ushindi wa 99% 💯 au uhai wa Watanzania?" Jibu la CCM ushindi wa kura ni muhimu zaidi, waliouawa ni wanachadema na hakuna taarifa za kuawa mtanzania.
 
Huwa mnajifariji sana badala mfanye siasa muwaeleze watu sera zenu nyie mnapiga porojo mitandaoni
Eti hawana wakati walichokitaka ni kushinda na wameshinda kwa kishindo, halafu dogo mitandaoni eti hawana raha! Ahahahahaha!!!
 
Huwa mnajifariji sana badala mfanye siasa muwaeleze watu sera zenu nyie mnapiga porojo mitandaoni
Sio kujifariji CCM wizi umekua mwing sana yan ad marehemu wamepiga kula sjui walifufuka
 
Tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana chini ya kituo cha Star TV, uliongozwa na Chief Odemba.

CHADEMA iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface, CCM iliwakilishwa na Prof. Mkumbwa, na ACT Wazalendo walikuwa na Makamu Mwenyekiti wao.

Prof., kwa akili kabisa, alikiri kuwa wapinzani walienguliwa. Aliulizwa swali: "Ni sheria gani inasema mgombea akishindwa kujaza fomu aenguliwe?" Prof. alishindwa kujibu swali hilo, lililoulizwa na Boniface wa CHADEMA.

Ukimwangalia Prof., sura yake inaonesha wazi kuwa ndani ya nafsi yake anasumbuliwa sana kwa matokeo ya uchaguzi. Hana raha kabisa, japo ndiye aliyetumwa na chama chake cha CCM.

NB: CCM imeshinda uchaguzi, lakini hawana furaha kabisa. Watanzania wamekata tamaa.

Think tank ya CCM inapaswa kukaa chini na kujiuliza: kipi bora, ushindi wa 99% 💯 au uhai wa Watanzania?

Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilisti wenu, Gabeji.
CCM hawakushinda uchaguzi blii wamepora uchaguzi.

Hakuna mwanaccm yeyote anayeweza kushika msahafu wa imani yake akaapa kuwa CCM wameshinda uchaguzi huu.

Maneno ya Nape na yule DC wa Areumeru aliyetenguliwa yamethibitika kupitia huu uchaguzi.
 
Huwa mnajifariji sana badala mfanye siasa muwaeleze watu sera zenu nyie mnapiga porojo mitandaoni
🚮
Kinachotakiwa ni uhuru na haki kwenye upigaji kura.

Ukiacha wizi, ni sera gani nyingine ya ccm inayojulikana kwa wananchi?
Jibu ni hakuna!!
 
CCM hawakushinda uchaguzi blii wamepora uchaguzi.

Hakuna mwanaccm yeyote anayeweza kushika msahafu wa imani yake akaapa kuwa CCM wameshinda uchaguzi huu.

Maneno ya Nape na yule DC wa Areumeru aliyetenguliwa yamethibitika kupitia huu uchaguzi.
Alikuwa DC wa Longido,si Arumeru.
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Ni ujinga tu wa wananchi wenyewe kutoelewa hiki kipande Cha Dunia ni chetu tukiwekeje.
 
Ukishahamia CCM akili yote inahama unamkabidhi Makalla. Ina maana huko CCM hapakuwa na kiongozi wa kuja kukiwakilisha chama? Mkumbo yeye ni serikali kwa nini ajitwishe limzigo asiloliweza? Yaani jana alionekana kama kituko!
 
Kuna maeneo unaona kabisa CCM inawagombea wenye ushawishi na wanaaminika ktk jamii, wamefanya kampeni kiustaarabu na kura zikapigwa bila shida yeyote na wakashinda.

Vivyo hivyo tuamini hata sehem waoinzani wakiwa na nguvu, ipo siku nao watakataliwa tu.
 
Back
Top Bottom