Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
99%ya ushindi wa ccm =0% ya ushindi wa ccm.Ushindi usio na haki haina furaha. Wameshinda Asilimia 99.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
99%ya ushindi wa ccm =0% ya ushindi wa ccm.Ushindi usio na haki haina furaha. Wameshinda Asilimia 99.
Pale inapokuja msimamizi mkuu ni mkweo uliemteua mwenyewe kwa ombi la binti homeSio kwa hapa nchi ilipofika, utapigiwa kura ila anaetaja matokeo ni mwingine, so point yako ni irrelevant
walitaka Chauma ichukue viti vingi kidogo ili ndio kiwe mbadala wa chadema, lengo sijui kama limefikiwaEti hawana wakati walichokitaka ni kushinda na wameshinda kwa kishindo, halafu dogo mitandaoni eti hawana raha! Ahahahahaha!!!'
issue hapa sio upro.Mweupe, sana prof.angalau alivyokuwa chadema alikuwa na madini sana
kama simba na yanga vile, ushindi wa jasho huwa ni mtamuMara 100 ushindi wa 52% chama kinauhai kuliko huu 99% wenye wasiwasi hata kujidai nao.
Tuache haki iwe inatendeka tutajenga taifa bora zaidi.
Kwetu miaka mitano iliyopita wananchi walikuwa wakijiongoza na wamesema hata sasa watajiongoza, hawaoni sababu ya kupewa kiongozi wasiyemchagua.Tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana chini ya kituo cha Star TV, uliongozwa na Chief Odemba.
CHADEMA iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface, CCM iliwakilishwa na Prof. Mkumbwa, na ACT Wazalendo walikuwa na Makamu Mwenyekiti wao.
Prof., kwa akili kabisa, alikiri kuwa wapinzani walienguliwa. Aliulizwa swali: "Ni sheria gani inasema mgombea akishindwa kujaza fomu aenguliwe?" Prof. alishindwa kujibu swali hilo, lililoulizwa na Boniface wa CHADEMA.
Ukimwangalia Prof., sura yake inaonesha wazi kuwa ndani ya nafsi yake anasumbuliwa sana kwa matokeo ya uchaguzi. Hana raha kabisa, japo ndiye aliyetumwa na chama chake cha CCM.
NB: CCM imeshinda uchaguzi, lakini hawana furaha kabisa. Watanzania wamekata tamaa.
Think tank ya CCM inapaswa kukaa chini na kujiuliza: kipi bora, ushindi wa 99% 💯 au uhai wa Watanzania?
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilisti wenu, Gabeji.
Lakini boni yai nae pia sio mtulivu,anapapara,hajui kupangilia hoja ikaeleweka,sana sana anaatack personal kuliko kuongea hoja ya kushawishi.
Alikuwa hana hoja kabisa, alishia kusema wapinzani hawakujiandaaa..Boni alikuwa vizuri.
..jukumu lake lilikuwa kupangua hoja za Prof.Kitila.
..pia kubomoa imani ya wasikilizaji kwa Prof.Kitila ndio maana akamuita mtu asiye na aibu.
..Prof.Kitila alikwenda kupotosha wafuatiliaji kipindi. Kwa mfano alishiriki kudanganya kwamba hakuwa ndani ya Chadema / Ukawa wakati wa mkutano wa Katiba Mpya 2013.
Ualimu wa kutokea kwenye UPE!Wa ualimu bana! Mwalimu mkuu huyu
Alikuwa hana hoja kabisa, alishia kusema wapinzani hawakujiandaaa
Alikuwa hana hoja kabisa, alishia kusema wapinzani hawakujiandaaa
Mi nakisia tu.Ushindi usio na haki haina furaha. Wameshinda Asilimia 99.