Prof. Mkumbo ameshindwa kujibu maswali ya Boniface wa CHADEMA kwenye mdahalo wa Tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Prof. Mkumbo ameshindwa kujibu maswali ya Boniface wa CHADEMA kwenye mdahalo wa Tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

🚮
Kinachotakiwa ni uhuru na haki kwenye upigaji kura.

Ukiacha wizi, ni sera gani nyingine ya ccm inayojulikana kwa wananchi?
Jibu ni hakuna!!
Au hujui kuwa sera maana yake policy? Mbona tuna policy nyingi Sana hebu Google hapo hata sera ya mazingira au sera ya ukimwi
 
Sio kujifariji CCM wizi umekua mwing sana yan ad marehemu wamepiga kula sjui walifufuka
Tatzo mnasiasa za mitandaoni, Wananchi wanataka facts siyo hzo blah blah za kutafuta follwers
 
Back
Top Bottom