Prof. Mkumbo: Deni la Taifa lafikia Trilioni 91.7

Tilioni 6 za Korea zimejumulishwa hapo?
Kuwa na akili,za Korea zitaanza kujumuishwa kuanzia mwaka ujao wa Fedha na sio zote zile ambazo zitatolewa mwaka husika tuu maana ule ni Mkopo utatolewa Kwa miaka 5 sio mara 1
 
Sasa kama ni trilion 10 kwa mwaka na mama kakaa miaka 3 maana yake si trilion 30?

Sasa akisema ndani ya miaka 3 kakopa trilion 30 uongo uko wapi?
Hapana nimeangalia kwenye Bajeti hakuna mwaka wamekopa Trilioni 10 Bali ni 8-9 T
 
Nyerere na Mwinyi walikuwa hawakopesheki, mikopo kwa wakomunist ilikuwa marufuku, tulipata mikopo midogo midogo tuu na grants from British government na Scandinavian countries
Lakini mikopo Yao ndio hiyo ilifutwa awamu ya Mkapa na mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…