Prof. Mkumbo: Deni la Taifa lafikia Trilioni 91.7

Prof. Mkumbo: Deni la Taifa lafikia Trilioni 91.7

Sasa kama ni trilion 10 kwa mwaka na mama kakaa miaka 3 maana yake si trilion 30?

Sasa akisema ndani ya miaka 3 kakopa trilion 30 uongo uko wapi?
Hapana nimeangalia kwenye Bajeti hakuna mwaka wamekopa Trilioni 10 Bali ni 8-9 T
 
Ile sauti iliyomuondoa mgogo mjengoni kama naisikia masikioni vile
 

Attachments

  • IMG_4146.jpeg
    IMG_4146.jpeg
    92.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom