The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
- Thread starter
- #41
Tuko mbali sana ya ukomo unaotakiwa ,kwanza Serikali inalipa madeniTuchape kazi,deni bado ni stahimilivu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko mbali sana ya ukomo unaotakiwa ,kwanza Serikali inalipa madeniTuchape kazi,deni bado ni stahimilivu...
Ukisema zimefanya nini unachekesha.Miradi yote mikubwa ni mikopo.Shida sio deni, shida zimefanya nini?
Nchi gani? Hii hapa au Kuna nyingine? 👇👇Bibi tozo katuharibi sana Nchi yetu
Ukisema zimefanya nini unachekesha.Miradi yote mikubwa ni mikopo.
Hutaki kukopa lipa Kodi,husikii Kilimo Kwa jirani? Lipa Kodi Mzee hutoisikia wamekopaShida sio miradi, shida ipo kwenye ulazima wa kukopa, ni kweli tunahitaji kukopa kutekeleza hiyo miradi au tungejinyima tu tungeweza kupata hela?
Hutaki kukopa lipa Kodi,husikii Kilimo Kwa jirani? Lipa Kodi Mzee hutoisikia wamekopa
Kuna Nchi Viongozi hawasafiri Nje ya Korea Kaskazini? Kusafiri kikazi ni kutumbua?Tunalipa sana Kodi, shida inaanzia kwenye matumizi yasiyo sahihi ya Kodi.
Unazungumzia watu kulipa Kodi huku watu kila siku kiguu na njia angani wanazitumbua, Serikali kila siku inanunua expensive cars, tunasikia kila siku makashfa ya wizi wa hela.
Kumbuka hao wakusanya Kodi na wapangaji wa hiyo kodi tunaishi nao huku mitaani.
Thibitisha Kwa takwimu
Kwanza hizo takwimu ni uongo wa mchana kweupe hazipo sawa.Magufuli deni la Taifa alilikuta likiwa 41 trilioni na akaliacha likiwa limefika 78 trilioni yaani kwa kipindi cha miaka 6 alikopa 37 trilioni na maendeleo ya vitu yalikuwa anaonekana na hapakuwa na matozo ya hovyo wala mavikokotoo
😂 😂 😂Kwanza hizo takwimu ni uongo wa mchana kweupe hazipo sawa.
Pili kwani hayo maendeleo ya vitu ni kama nini Ili twende sawa
Weka takwimu zako za ukweliKwanza hizo takwimu ni uongo wa mchana kweupe hazipo sawa.
Pili kwani hayo maendeleo ya vitu ni kama nini Ili twende sawa
Watu wanakopa kwa ajili ya kulipana posho..ndio maana tunashuhudia ongezeko kubwa sana la v8 new model za watu binafsi ila sio kuongezeka kwa vipato vya watu maisha huko mtaani ni magumu ndugu wanaishi kwa kupiga mizinga sahivi..Ndani ya miaka mitatu imekopwa zaidi ya 30 trillion??? Na bado hatuoni matokeo chanya zaidi ya kuona Wamasai wanafukuzwa, bandari zinakodishwa, misitu inauzwa, maumivu ya tozo na inflation kwenye bidhaa.
Zangu ni hizi hapa 👇Weka takwimu zako za ukweli
Kwani ni lini hayo kabarabara,viwanja vya ndege,majengo ya mahakama za Tanznaia ,Bombardiers ,JNHP,SGR yaliachwa kujengwa? Au wakati anakufa aliacha pesa na yalikuwa yamekamilika? 😁😁😁😁😂 😂 😂
Hujaona mabarabara, Viwanja vya ndege, Majengo ya mahakama jumuishi wilaya zote Tanzania, Bombadiers, JNHP, Standard gauge nk
Trillion karibu 10 kila mwaka ni kulipa interest tuu ya madeni na zinaongezeka kila mwaka, kazi ipo kweli kweli, only kutoka kwenye hili shimo ni kuongeza uzalishaji tuu lakini sioni mikakati yeyote ya hilo
Kila mtanzania leo anadaiwa 1,450,000.
Tunaendelea....
Maswaliiiiii......