Prof. Mkumbo: Deni la Taifa lafikia Trilioni 91.7

Prof. Mkumbo: Deni la Taifa lafikia Trilioni 91.7

Shida sio miradi, shida ipo kwenye ulazima wa kukopa, ni kweli tunahitaji kukopa kutekeleza hiyo miradi au tungejinyima tu tungeweza kupata hela?
Hutaki kukopa lipa Kodi,husikii Kilimo Kwa jirani? Lipa Kodi Mzee hutoisikia wamekopa
 
Hutaki kukopa lipa Kodi,husikii Kilimo Kwa jirani? Lipa Kodi Mzee hutoisikia wamekopa

Tunalipa sana Kodi, shida inaanzia kwenye matumizi yasiyo sahihi ya Kodi.

Unazungumzia watu kulipa Kodi huku watu kila siku kiguu na njia angani wanazitumbua, Serikali kila siku inanunua expensive cars, tunasikia kila siku makashfa ya wizi wa hela.

Kumbuka hao wakusanya Kodi na wapangaji wa hiyo kodi tunaishi nao huku mitaani.
 
Kuna Nchi Viongozi hawasafiri Nje ya Korea Kaskazini? Kusafiri kikazi ni kutumbua?

Mwisho Magari ni kitendea kazi Serikali haiwezi nunua paso,harafu unachekesha sana ukiacha magari ya RCs na Wakuu wengine wa taasisi 80% ya magari ni ya kawaida ya Wafanyakazi wa chini.
 
Magufuli deni la Taifa alilikuta likiwa 41 trilioni na akaliacha likiwa limefika 78 trilioni yaani kwa kipindi cha miaka 6 alikopa 37 trilioni na maendeleo ya vitu yalikuwa anaonekana na hapakuwa na matozo ya hovyo wala mavikokotoo
Kwanza hizo takwimu ni uongo wa mchana kweupe hazipo sawa.

Pili kwani hayo maendeleo ya vitu ni kama nini Ili twende sawa
 
Ndani ya miaka mitatu imekopwa zaidi ya 30 trillion??? Na bado hatuoni matokeo chanya zaidi ya kuona Wamasai wanafukuzwa, bandari zinakodishwa, misitu inauzwa, maumivu ya tozo na inflation kwenye bidhaa.
Watu wanakopa kwa ajili ya kulipana posho..ndio maana tunashuhudia ongezeko kubwa sana la v8 new model za watu binafsi ila sio kuongezeka kwa vipato vya watu maisha huko mtaani ni magumu ndugu wanaishi kwa kupiga mizinga sahivi..
Gap la wenye nacho na wasio nacho limekuwa kubwa sana.
 
Weka takwimu zako za ukweli
Zangu ni hizi hapa 👇
Screenshot_20240613-135611.jpg
Screenshot_20240613-135946.jpg

Mpaka hapo deni by June 2021 huenda lilikuwa not more than 70 Trilioni
 
😂 😂 😂
Hujaona mabarabara, Viwanja vya ndege, Majengo ya mahakama jumuishi wilaya zote Tanzania, Bombadiers, JNHP, Standard gauge nk
Kwani ni lini hayo kabarabara,viwanja vya ndege,majengo ya mahakama za Tanznaia ,Bombardiers ,JNHP,SGR yaliachwa kujengwa? Au wakati anakufa aliacha pesa na yalikuwa yamekamilika? 😁😁😁😁

Soma vizuri hapa 👇
Screenshot_20240613-135611.jpg
Screenshot_20240613-135946.jpg
 
Back
Top Bottom