Nami natamani kujua, kama nchi kuna faida gani inapatikana kuwa na kiongozi ngazi hiyo huko WHO? Maana nakumbuka Migiro alikuwa UN, Salim Ahmed nae AU ila sidhani kama kuna tija yoyote kwa taifa.
Umeona mkuu hapo umeongea sasa
 
Nilijua tu atashinda! Na ningeshangaa sana kama asingeshinda pamoja na usomi wake na kampeni kubwa iliyofanywa kuhakikisha anashinda.
HONGERA SANA PROFESSOR MOHAMED YAKUB JANABI.
 
Sawa turudi kwenye swali sasa, kwa hiyo ushindi wake una manufaa gani kwa Tanzania?
 
Duh, kuna wakati CHADEMA tunakuwa hatujui tunachokitafuta! Sasa Janabi naye tulikuwa tunamchukia kwa lipi hasa? Sasa tumeumbuka mchana kweupe!
Binafsi mm sio chadema wala sio CCM, ila chadema wanazingua Sana, sasa hv wamebadili gia wanasema hicho cheo kina faida gn kwa nchi πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…