Ni vizuri tumepata Matanzania. Lakini tukikuze sana hii nafasi sio kwamba ni special hivyo! Kiasi cha kuwa kitu cha kushangaza!!
 
Ni vizuri tumepata Matanzania. Lakini tukikuze sana hii nafasi sio kwamba ni special hivyo! Kiasi cha kuwa kitu cha kushangaza!!
Wakati mnampinga mlikuwa hamjui hy nafasi haina uspecial wowote?
 
Sawa turudi kwenye swali sasa, kwa hiyo ushindi wake una manufaa gani kwa Tanzania?
Tanzania inajulikana kimataifa kwamba ni Moja ya nchi zenye wasomi wabobevu wenye sifa za kusimamia mambo ya kimataifa.
Kama kuna watu walikuwa hawaijui Tanzania wataanza kufatilia habari za Tanzania kijiografia, kisiasa, kitaaluma, kitalii , kiuchumi na mengine mengi yatakayoboresha ushirikiano kati ya Tanzania na mataifa mengine ya Africa na dunia kwa ujumla wake.
Kuaminiwa kwa pro.Janabi kwa nafasi hiyo ni moja ya misingi ya kuaminiwa watanzania wengine katika nafasi mbalimbali za uongozi wa kimataifa na hilo ni jambo zuri sana.
 
Pongezi nyingi sana kwake na Nchi yetu Tanzania hususan Rais wetu mpendwa dkt Samia. Hakika ushindi huo ni kielelezo tosha kuwa Nchi yetu inakubalika kimataifa.
 
Wakati mnampinga mlikuwa hamjui hy nafasi haina uspecial wowote?

Hakuna mtu kapinga elimu yake .

Lakini kujifanya kama hii nafasi ni ya ajabu ni ushamba wetu tu. Tuache ushamba.

Hii ni nchi ambayo hatuna hata bima ya maana kwa wananchi wetu!
 
Hii tabia ya kuteka na kupoteza watu inayofanywa na watu wasiojulikana isipokomeshwa inaweza kutuharibia.
 
Na ushindi aliopata sio ushindi wa michezo!
Kura 32 wakati wengine wameishia kupata kura 5 na wengine kura 4.
Ukisikia ushindi wa kishindo ndio kama huu!.
Hapo ni Samia na Lissu kama asingeingia mitini Oct.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…