Umeelewa nilichokiandika ?? Rudia kusoma!Unaendeleza ushabiki maandazi....
Nimeweka cv hizo hapo zilizo tumika kuombea kazi WHO, fungua uangalie sio unasikiliza vilaza wa JF wanamjadili Janabi ambao wao hata kula yao ni mzozo.....
Janabi
View attachment 3338693
Ndungulile
View attachment 3338694
We jamaa huogopi dhambi ya kusema uongo?Walikua wanataka mke
Wa ndugulile ndo akachukue hii nafasi lakin
Ndio kwanza yupo peramiho cotc anasoma
CV ya prof Janabi imesheheni maudambudambu. Hongera kwakeUnaendeleza ushabiki maandazi....
Nimeweka cv hizo hapo zilizo tumika kuombea kazi WHO, fungua uangalie sio unasikiliza vilaza wa JF wanamjadili Janabi ambao wao hata kula yao ni mzozo.....
Janabi
View attachment 3338693
Ndungulile
View attachment 3338694
Punguza kuishi namaumivu pamoja na hasira, zitakuja kuumiza moyo wako.Uchaguzi umefanyika jana tu wewe tayari umeshaongea na Wakenya?
Hiyo nafasi ilikuwa inashikiliwa na Mtanzania imenufaisha nchi kitu gani?
Heshima kwa tabaka la wasomi, unadhani kwanini wanigeria wanaheshimika kimataifa, wameshazoea kuona wasomi wao wakizoea kupewa hizi posts za kidunia.Watanzania ni watu wenye vichwa vigumu sana
Ushindi wa Janabi una faida kwa taifa la Tanzania?
Niliomba jibu la hilo swali wewe umeenda OP
Nijiandae kulipwa sasa
wacha roho mbaya hiyoSasa taifa litarudishaje mabillion yaliyotumika kwenye kampeni na hongo?
Mm nipo hapa kama ataendelea na ile tabia yakeHii ni taarifa ya hivi punde.
Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa.
Pongezi nyingi kwake na watanzania.
===============
Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumapili Mei 18, 2025, huko Geneva, Uswisi.
Prof. Janabi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda hiyo na Waziri wa zamani wa Afya wa Tanzania, aliyefariki dunia Novemba 2024.
Katika nafasi hii mpya, Prof. Janabi atahudumu kwa kipindi cha miaka mitano, akiwa na fursa ya kuchaguliwa tena kwa muhula mmoja zaidi. Kazi yake kuu itakuwa ni kuongoza juhudi za kuunda sera za afya, kuratibu huduma za dharura za afya, pamoja na kushinikiza suluhu bunifu kwa changamoto za kiafya barani Afrika.
Wagombea wengine walioshiriki katika uchaguzi huo lakini hawakufanikiwa ni pamoja na:
- Moustafa Mijiyawa (Togo)
- Dk. N’Da Konan Michel Yao (Ivory Coast)
- Mohamed Lamine Dramé (Guinea)
VIDEO: Rais Samia amuombea kura za Ukurugenzi wa WHO Mohammedi Janabi
Ndugu zangu Watanzania, Nashindwa niandike nini ,nashindwa niseme nini ,nashindwa nieleze vipi juu ya uwezo mkubwa wa kiakili alionao na aliojaliwa kuwa nao Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais Samia ni Mpango wa Mungu,ni chaguo la Mungu na kapewa akili nyingi na...www.jamiiforums.com
View attachment 3338251
Hongera ProfHii ni taarifa ya hivi punde.

Kuwa mkurugenzi wa who afrika kuna tija gani kwetu wewe mwenye akili?Kun wale Nyumbu humu walitaka asipate ,kuna matanzania majinga kuliko ujinga wenyewe
Chadema mna matatizo ya akiliAmeshindaa lkn hana furahaa kabisa
Kodi zetu zimetimika kupigia kampeni
Chadema ni wapumbavu tuu hawawezi kuelewa.Wakenya wameanza kuangazia jinsi watakavyonufaika na uwepo wa Janabi ambaye ni mwanaafrika mashariki mwenzao kuhakikisha mpango wa WHO kuendelea kuitumia Kenya kama moja ya eneo la kufanyia tafiti za dawa na tiba na mengine mengi.
Kenyans wanaona Janabi ni fursa kwao kumtumia wakati sisi bongo baadhi yetu wanaona haina faida. Rais sio mjinga kumpigia kampeni mtanzania aipate hiyo nafasi. Ukitaka kuelewa faida Regional Director wa who elewa duties and responsibilities zake then elewa malengo ya who kwa ujumla. Leo mtu akisema haina faida ni kukosa akili kabisa. Kuna faida za moja kwa moja na faida mtambuka. Sera kuhusu Africa kwenye maswala ya kiafya ni shida sana.
Mbona hamkusema hv kipindi mnampjngaKuwa mkurugenzi wa who afrika kuna tija gani kwetu wewe mwenye akili?
Jamaa amechanganyikiwa na roho mbaya mpaka haelewiSasa mbona hueleweki?! Wametuonea huruma au SSH na JK walibembeleza sana?! All in all, POLE SANA!!
Hii ndio faida? 🤣🤣🤣Heshima kwa tabaka la wasomi, unadhani kwanini wanigeria wanaheshimika kimataifa, wameshazoea kuona wasomi wao wakizoea kupewa hizi posts za kidunia.
Ushawishi haswa wa kielimu ni kitu kikubwa mahali popote.