Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Mojawapo wewe.Kun wale Nyumbu humu walitaka asipate ,kuna matanzania majinga kuliko ujinga wenyewe
Kwani zile nyuz zenu za kumuombea asishinde hiyo nafasi mlifikiri zingeleta manufaa au hasara gani? Prof Janabi ameshinda!! Pole kwa maumivu ya kiroho mbaya unayopitia. Jali afya yako zaidi chuki zitakupunguzia umri wa kuishi duniani hapa!!! Pumbav!!!Hivi kushinda kwa Janabi kunaisaidia nini Tanzania?
Maana hii habari imekuwa gumzo kubwa sana Tanzania
Usenge usenge tuChuki chuki chuki
Nitanunaje wakati Upanga nafasi ipo wazi.Hongera yake ila kuna watu wamenuna
Ushindi wake ungekuwa hauisadii chochote Tanzania baadhi yetu tusingepandisha uzi jukwaani kupinga CV yake, tena aibu yenyewe ni ukweli kwamba wale jamaa walikuwa ni madaktari wenzake!.Hivi kushinda kwa Janabi kunaisaidia nini Tanzania?
Maana hii habari imekuwa gumzo kubwa sana Tanzania
Hakuna inachosaidia zaidi zaidi Nusu ya Mshahara wake anapewa Mkewe kwa hio hapo wa kufurahia Mkewe maana analipwa bila kufanya kazi yoyote ile yaan mumewe analipwa Mshahara full na yeye analipwa Mshahara Nusu na hakuna kazi anayofanya. Kwa hio hawa wanaoshangilia labda ni michepuko ya JanabHivi kushinda kwa Janabi kunaisaidia nini Tanzania?
Maana hii habari imekuwa gumzo kubwa sana Tanzania
Chadema mmebadili kisingizio 😂In Africa money runs the game in everything .
ILA wakati mnampinga hamkusema asipopata hy nafasi nchi itanufaika vp.Hivi kushinda kwa Janabi kunaisaidia nini Tanzania?
Maana hii habari imekuwa gumzo kubwa sana Tanzania
Nguvu ipi hy kupita kiasiHongera sana kwake.
Japo nguvu iliyotumika ilikuwa kubwa kupita kiasi.
Huyu atasababisha soko la vyakula Afrika kushuka kwasabb ya kampeni yake ya kutaka watu wale mlo mmoja tu kwa siku.Tujiandae wote kunywa juice ya tango vijiko viwili kwa ukanda mzima wa Afrika
Mlivotaka akose Je ingesaidia nn nchi?Ujinga mtupu inasaidia nini kwetu.
Lucas Mwashambwa mbn tyr keshatoa miguno hiyo kitambo tu!!Utasikia Mama Mama Mama Mama Mama.mama m.aam aha aha ha hovyo kabisa