Kura za kuhonga wallah ,maana ni Janabi ni zero brain. Kulinganisha na wenzake.
 
Ndoa za wanachadema leo zitakuwa ngumu sana 😂
 
Kura za kuhonga wallah ,maana ni Janabi ni zero brain. Kulinganisha na wenzake.
Chadema mnabadili Gia angani 😂
Mbona hawajohongwa hao wngn au Janabi alikuwa pekee yake huko
 
Hapana, katembelea nyota ya marehemu... yaani wamempa tu kama pole kwa mfiwa Tanzania
Mbona wakati mnampinga hamkusema anaweza kupewa hy nafasi kama mfiwa?
Chuki zenu hazijawapeleka popote na bado hamjasema, bado October uchaguzi mkuu
 
Nawaambia Chawa wa chadema kuwa hii ni nyongeza, mzigo kamili upo hapo Octoba ndo mnapewa mzigo kamili 😂
 
Erythrocyte na Mshana Jr na wengineo mliokuwa mnamuombea mabaya, nawashauri mkae kwa kutulia na mhudumie ndoa zenu vzr mana kwa hii stress mnaweza mshindwe kuhudumia ndoa zenu 😂
 
Safi sana, Tanzania great again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…