Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Hili la akina Biteko na Jafo ndio limetufumbua macho ,uozo huu wa PhD za UDOM.Ukiona hadi wanatoa ujue wana ithibati ya TCU.
Udom hawajaanza kutoa PhD za akina Biteko. Juzi walitoa zaidi ya 60 wakiwemo hao.
Haina tofauti na PhD za UDSM walizozawadiwa Magufuli na Mwigulu, tungeli address tatizo kwa upana wake si kwa kunyooshea kidole UDOM peke yake kanakwamba vyuo vingine vipo salama.Hili la akina Biteko na Jafo ndio limetufumbua macho ,uozo huu wa PhD za UDOM.
TCU imeshakuwa uchochoro.
Inakuwaje a full time politician akawa na muda wa kufanya research ambayo huwa inatofanywa na a full time candidate wa PhD na wakati mwingine asitimize in 4 years work?
Laana na damu ya Ben saa8 haiwaachi I assure them! The man was assassinated because he genuinely asked these very same questions to Magufuli's PHD. Haya na nyie kina Doto na Jafo tumeni akina Bashite na Ali hapi wawashughulikie hao maprof.==== Ben is ALIVE now!Kwa maprofesa nguli kama hawa kuhoji, kuna kitu nyuma ya pazia! Ni jukumu sasa la mamlaka ya udhibiti wa elimu ya juu nchini (TCU) kutoa majibu fasaha. Kama kuna michezo wanasiasa wanafanya kuchezea elimu angalau wawili watatu wawe mifano kukomesha hali hii for good!
Wekeni hizo abstracts, conclusions, na supervisors online watu wapitie; hata hizo theses hazitakiwi kuwa siri. Ziwekwe public pengine watafiti wengine wangependa "kuanzia walipoishia" kwenye tafiti mpya.
Sahihi kabisa...kikubwa ni kuangalia kama mchakato umefanyika kwa usahihi..hapa ndio Takukuru wangehusika zaidiKama Prof. Muhongo hajasoma abstract zao, kama hajasoma conclusions, kama hajui internal supervisor(s) ni akina nani, kama hajui external examiner(s) ni akina nani na kama hajui wamepublish wapi papers zao zilizowasaidia kugraduate anapata wapi sababu ya kuwa na wasiwasi na PhD za hao waheshimiwa? Hapo ni kama ule msemo wa Waingereza wa "jumping the gun". Lakini pia anayesema TCU iko kimya, sidhani kama ni sahihi. Kazi ya TCU ni kutoa ithibati ya program lakini Senate za vyuo husika ndio zina wajibu wa kuhakikisha wanatoa PhD zenye viwango. TCU hawasimamii wanafunzi wa PhD bali wahadhiri walioidhinishwa na Senate. Maswali ya kujiuliza ni je hao waheshimiwa wamepitia michakato yote ya kupata PhD zao? Senate wameridhika kuwa kilichofanyika kinakidhi viwango vya PhD? Wamepublish kwenye majarida yanayotambuliwa na UDOM? Kama jibu ni ndio, huu wasiwasi wa maprofesa wenzangu unatoka wapi? Kwamba kupata PhD ni mchakato mgumu na hivyo waziri ambaye yuko busy na shughuli za kiofisi hawezi ni hoja isiyo na mashiko.
Ndo hizo sasa, utadhani sagurasagura za mitumba zinazorushwa kwenye umati wa watu pale Ilala....Ukiona hadi wanatoa ujue wana ithibati ya TCU.
Udom hawajaanza kutoa PhD za akina Biteko. Juzi walitoa zaidi ya 60 wakiwemo hao.
jamani msimguse Dr Slaa hiyo ni namba nyingine.fuatilieni elimu yake kwa umakini.ni mtu anyeweza kuongea lugha tano za kimataifa ujue hiyo ni namba nyingine.Dr Nchimbi supervisor wake alikuwa Prof Mpangala .yy hakupewa Doctorate kama hawa wengine kama akina Biteko,Msukuma.makamba nkDr Mwigullu
Dr Makamba
Dr Jaffo
Dr Biteko
Dr Nchimbi
Dr Makonda
Dr Gwajima
Dr Slaa
Dr Msukuma
Dr Slaa yeye ni doctorate ya kanisa. Hizi mapadre wengi wa Roman Catholic wanazo lakini wala hawajiiti Ma Docta. Zinawapa uwezo wa kulijuwa kanisa, historia, sheria nkjamani msimguse Dr Slaa hiyo ni namba nyingine.fuatilieni elimu yake kwa umakini.ni mtu anyeweza kuongea lugha tano za kimataifa ujue hiyo ni namba nyingine.Dr Nchimbi supervisor wake alikuwa Prof Mpangala .yy hakupewa Doctorate kama hawa wengine kama akina Biteko,Msukuma.makamba nk
Dr Mnyika!
Good argument mkuu!Let’s be serious kidogo kwenye kufanya research kwa topic za Tanzania.
Chukulia changamoto za afya we all know someone who’s lost her life during child birth or a victim of other medical negligence.
Mtu unataka kufanya research ubaini root cause ya hayo mambo, una njia mbili; kufahamu frameworks zilizopo za evidence based practice procedures ujue daktari, nurse, midwife walizembea wapi. To put blame on human factors unahitaji pia other studies on your literature review.
Kasheshe ilipo kwenye kufanya research.
Hakuna mahala unaweza pata information za health regulations na frameworks online. Najua zipo maana nimemsikia Dr Gwajima akizi refer mara kadhaa kwenye kuwakosoa watu. Kwa ivyo inabidi ufunge safari mpaka wizarani.
Hakuna data on amount of recorded medical errors kwa hujui kama wana improve or the situation has worsened to have a bench mark.
Hakuna studies ambazo zimefanyika mahospitali makubwa with reasonable amount of sample size ya proffesional kupata mtazamo wao, manipulated environment to assess differences, again hakuna records mahospitalini ya medical errors.
So where do you start with such a research zaidi ya wewe mwenyewe kufanya primary research from the begging and to have meaningful results inabidi utumie miaka kadhaa kukusanya data za medical error so you have something to compare too, uende wizarani kujua medical frameworks, hao proffesionals nao wawe willing to participate and so forth with such a research which won’t be cheap, short na sidhani kama mtu mmoja anaweza ifanya.
Same thing kwenye disciplines zingine especially to do with social sciences rarely kuna hizo info za kuandikia report ya kawaida tu let alone kuandikia thesis ya maana, unless you are doing a primary research; ndio maana naona other than PhD za SUA, medical (practitioners) na sehemu nyingine chache za hard sciences ndio zitakuwa na kiwango.
Otherwise research za topic za nyumbani nyingi to do with business, economic and social science ambazo primarily zimetumia secondary data zitakuwa hazina viwango; simply hakuna information za maana za kuandikia arguments.
Na ndio papers za wanasiasa wetu zitakuwa hazina viwango sasa usishangae ukiwasikiliza they don’t up as PhD holders.
Unaweza bishana na mtu anajiita msomi wakati unaona hata foundation ya kitu mnachobishana hana.
Mkuu siwasifii lakini huu upuuzi umeendekezwa vyuo vingi hapa Tz. Kumbuka mwendazake na PhD yake UDSM ya miaka miwili bila publication si bora hata hao kina biteko na Jafo angalau wamemaliza miaka mi3/4.Mkuu utasifiaje UDOM wakati upo ushahidi wa wazi wa Jafo na Biteko kutunukiwa PhD ambazo umma wa kisomi una wasiwasi nazo.
Uchoyo tu unawasumbua. Kwani hao maprofesa ndo wako njema? wamefanya nini cha kushangaza?
Punguzeni wivu jaman, yaan mtu PHD ni yake ada kalipa mwenyewe hakuna aliye mlipia
Na wewe pia utumie akili zaidi, chairman wa University council UDSM ni retired Judge Lubuva. Nipe uhusiano wake na mambo ya kitaaluma kama sio post ya kisiasa kupeana dili za kusukuma muda baada ya kustaafu.Tumia akili kidogo.
Uwaziri ni post ya kisiasa, any Tom, Dick and Harryanaweza kaa pale na anasimamia sera za kisiasa.
Vyuoni hakuna siasa kule, ni kucheck intergrity na quality education.
Ona sasa mwanasiasa haoni uozo wa kugawa PhD kama njugu kwa thesises ambazo hata hata kijana wa first degree0hawezi andika vile.
Mkuu nakubaliana na wewe.Mkuu siwasifii lakini huu upuuzi umeendekezwa vyuo vingi hapa Tz. Kumbuka mwendazake na PhD yake UDSM ya miaka miwili bila publication si bora hata hao kina biteko na Jafo angalau wamemaliza miaka mi3/4.
UDOM wamefanya upuuzi ambao hautakiwi kuchekewa na mtu yoyote lakini ni mwendelezo wa upuuzi unaofanywa vyuoni ambao unahitaji kuthibitiwa.
Mkuu unawaona hao tu, kuna vichekesho zaidi ya hivyo vyuoni hasa vya private baadhi yaani mpaka unatamani kulia.
Aisee.....!Na wewe pia utumie akili zaidi, chairman wa University council UDSM ni retired Judge Lubuva. Nipe uhusiano wake na mambo ya kitaaluma kama sio post ya kisiasa kupeana dili za kusukuma muda baada ya kustaafu.
Uislamu unahusu nini na hii issue hapa?UDOM wangepewa Waislamu kama ilivyokuwa Chuo cha TANESCO Morogoro. Hiki ni chuo chenye hadhi ya chini sana.
Ha ha haa! Niombe radhi, PhD kwa sisi makapuku tunawaachia academicians na researchers. Degree moja tu imenitosha kuniwezesha kumudu maisha japo kwa mbinde.Aisee.....!
A retired Judge halafu hujui kama ni msomi!
Unamlinganisha na mwalimu wa sekondari, wa hapo UDOM?
Mkuu una PhD ya UDOM, au?