Let’s be serious kidogo kwenye kufanya research kwa topic za Tanzania.
Chukulia changamoto za afya we all know someone who’s lost her life during child birth or a victim of other medical negligence.
Mtu unataka kufanya research ubaini root cause ya hayo mambo, una njia mbili; kufahamu frameworks zilizopo za evidence based practice procedures ujue daktari, nurse, midwife walizembea wapi. To put blame on human factors unahitaji pia other studies on your literature review.
Kasheshe ilipo kwenye kufanya research.
Hakuna mahala unaweza pata information za health regulations na frameworks online. Najua zipo maana nimemsikia Dr Gwajima akizi refer mara kadhaa kwenye kuwakosoa watu. Kwa ivyo inabidi ufunge safari mpaka wizarani.
Hakuna data on amount of recorded medical errors kwa hujui kama wana improve or the situation has worsened to have a bench mark.
Hakuna studies ambazo zimefanyika mahospitali makubwa with reasonable amount of sample size ya proffesional kupata mtazamo wao, manipulated environment to assess differences, again hakuna records mahospitalini ya medical errors.
So where do you start with such a research zaidi ya wewe mwenyewe kufanya primary research from the begging and to have meaningful results inabidi utumie miaka kadhaa kukusanya data za medical error so you have something to compare too, uende wizarani kujua medical frameworks, hao proffesionals nao wawe willing to participate and so forth with such a research which won’t be cheap, short na sidhani kama mtu mmoja anaweza ifanya.
Same thing kwenye disciplines zingine especially to do with social sciences rarely kuna hizo info za kuandikia report ya kawaida tu let alone kuandikia thesis ya maana, unless you are doing a primary research; ndio maana naona other than PhD za SUA, medical (practitioners) na sehemu nyingine chache za hard sciences ndio zitakuwa na kiwango.
Otherwise research za topic za nyumbani nyingi to do with business, economic and social science ambazo primarily zimetumia secondary data zitakuwa hazina viwango; simply hakuna information za maana za kuandikia arguments.
Na ndio papers za wanasiasa wetu zitakuwa hazina viwango sasa usishangae ukiwasikiliza they don’t up as PhD holders.
Unaweza bishana na mtu anajiita msomi wakati unaona hata foundation ya kitu mnachobishana hana.