Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

Wote wawili si academicians lakini mfano wa mama Kabaka ni mnaya zaidi.
Anawezaje kusimamia wana taaluma kiwango cha PhD, kitaaluma huku akiwa na Diploma ya ualimu?
 
Wote wawili si academicians lakini mfano wa mama Kabaka ni mnaya zaidi.
Anawezaje kusimamia wana taaluma kiwango cha PhD, kitaaluma huku akiwa na Diploma ya ualimu?
... Council ni chombo cha kiutawala zaidi; Senate ni chombo cha kitaaluma. Unlike Council ambako akili za kawaida za kiutawala zinatosha, Senate inatakiwa kuwa na wanataaluma wabobezi wa fani tofauti tofauti; by the way faculty deans (formerly)/principles of schools and colleges are automatically members of Senate by virtue of their positions.

Councils' membership is more "inclusive" to include politicians, lawyers, business, military, etc. to oversee government interests in "all perspectives" apart from academics. That's how the state machinery works.
 
All the same, academic confidence inapungua when you have a Diolomer holder chairing a Council to cater up to higher standards of academic perfection.
 
UDOM wangepewa Waislamu kama ilivyokuwa Chuo cha TANESCO Morogoro. Hiki ni chuo chenye hadhi ya chini sana.
nakwambia bora UDOM kuliko Mocu, pale MoCU watumishi wao kwanza wana dharau sana ukiend una shida utajibiwa upuuzi tu,kuna mmoja nilibishana nae sana wakati fulani mpaka akawa mpole
mambo ya MoCU ni kama sio chuo kikuu,pale kuna baadhi ya lecturers hawasahihishi mitihani yani anawakadiria grades,mwingine anarudisha watu supp zaidi ya watu mia hadi wenzie wanashangaa. yani pale kuna jamaa walikua na course work 30+ na UE ikaja vizuri ila wakalambwa C
 
Jamani mbona mnawaibisha hawa wajamaa?. Ninashauri hatua kali zichukuliwe dhidi ya Chuo Kikuu cha UDOM kama hawatatoa majibu ya maswali ya Prof. Muhongo na Prof. Mwandosya. Kama sivyo na mimi mwaka kesho nataka kuwa na PhD kwa kupitia njia ya mkato na hela ninazo.
 
Wote wawili si academicians lakini mfano wa mama Kabaka ni mnaya zaidi.
Anawezaje kusimamia wana taaluma kiwango cha PhD, kitaaluma huku akiwa na Diploma ya ualimu?
Umeweza kutofautisha majuku ya kiutendaji kati ya Council na senate?

Pia kuweka taarifa sahihi tu yule mama ana Masters aliyoipata tangu 2002. Hivyo hoja yako inazidi kukosa nguvu.
 
Umeweza kutofautisha majuku ya kiutendaji kati ya Council na senate?

Pia kuweka taarifa sahihi tu yule mama ana Masters aliyoipata tangu 2002. Hivyo hoja yako inazidi kukosa nguvu.View attachment 2052590
Mkuu usimtetee sana huyo mama.
Ni recycled academic matter na bado hakidhi viwango.
Unless watanzania tunaridhika na usimamizi kiutendaji wa wanasiasa, ambao sasa wanagawana PhD..
It does not wash!
 
Mkuu usimtetee sana huyo mama.
Ni recycled academic matter na bado hakidhi viwango.
Unless watanzania tunaridhika na usimamizi kiutendaji wa wanasiasa, ambao sasa wanagawana PhD..
It does not wash!
Mkuu ukisoma comments zangu kwa makini utagundua kuwa najaribu kuonyesha uozo kwenye mfumo mzima badala ya kuiona UDOM kama ni ya kipekee kwenye uozo huo
 
Mkuu ukisoma comments zangu kwa makini utagundua kuwa najaribu kuonyesha uozo kwenye mfumo mzima badala ya kuiona UDOM kama ni ya kipekee kwenye uozo huo
Ktk hili nipo nyuma yako mnama,tatizo ni la mfumo wetu wa elimu haupo sawa na hata hao waliopewa dhamana ya usimamiz wa huo mfumo hawapo sirias wanaishia kudemka tu.
 
Hoja nzuri sana hii.....
 
Mkuu hivi unaelewa kinachojadiliwa hapa ? Sio kila mada lazima uchangie. Hapa watu wanaonyesha jinsi elimu inavyo haribiwa kwa evidence wewe unaonyesha ujinga wako hapa.
Let the fools speak......
they are part a parcel of the society
 
Ha ha ha!
Hela zako mkuu!
 
Kwa mara ya kwanza Muhongo kaongea point. Point kubwa na ya msingi ni kwamba akina Sospeter wangebaki vyuoni kama maprofesa wangekuwa useful zaidi kwenye jamii kuliko walivyoingia kwenye siasa.
Asante sana! Umenena! Hawa ndiyo ma PhD holder wa Tanzania wanakubali mwaliko wa kujiunga na msafara wa kwenda kwa Mganga wa Kienyeji kupiga ramli. Halafu wakitoka huko wanashindwa kuona njia ya kurudi walikotoka. Inakuwa "Ukimeza Nchale, Ukimumunya Nchale, Ukitema Nchale" mpaka mchawi mkuu afe!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…