Umeongea kiufudi ufudi sana. Sio kifact kaama mjiolojia.
Sina muda fanya utafiti wako, everything is open
Jamii ya kwako nimekutana nayo hiki kitabu kitakusaidia kupunguza hasira ;
USIOGOPE KUIANZA BIASHARA YA KUNUNUA MADINI:
watu wengi wanatamani sana kuingia katika biashara ya kununua na kuuza madini ila wengi wao wamejikuta wameikatia tamaa baada ya kusikia maneno ya watu kuwa biashara hii ya madini ina matapeli wengi, ukienda huko utaenda kupoteza pesa, biashara hii kuifanya lazima uwe na mtaji mkubwa na ukiwa na mtaji mdogo huwezi ifanya, kuna maneno chungumzima ambayo wengi walioyasikiliza na wakayafata kweli wemeshindwa kuingia katika hii biashara...
Je, ukweli ni upi juu ya biashara hii ya madini??
Biashara ya kununua madini na kuuza madini ni biashara halali na nibiashara inayowaingizia watu faida kama zilivyo biashara zingine kama za mazao za duka kwani hata kwenye biashara za mazao na duka bado kuna watu walizifanya na wakafirisika hivyo usitishike na kuogopa kufirisika kama unataka kuingia katika biashara hiyo ni changamoto ambayo unaweza ikuta popote hivo basi kitu kikubwa naweza kuwashauri ni kwamba kabla hujaingia kwenye hii biashara unatakiwa utambue mambo yafuatayo:
1. Unatakiwa uitambue biashara ya madinj ni biashara ya aina gani na watu waliopo kwenye hii biashara wengi wao wana tabia zipi, hususani wanamtizamo upi wamuonapo mgeni anapoingia kwenye hii biashara wanamchukuliaje, ukilijuwa hili itakusaidia ww kujiandaa namna ya kukabiliana na kila utakaekutana nae mbele yako na utajuwa vipi uishi nae
2. Utambue kuwa madini yako ya aina nyingi na kila madini yana thamani tofauti, yapo yanayouzika sokoni na yapo yasiouzika sokoni hivo ni vyema ukafanya chaguo mapema la aina ya madini utakaloamua kwenda kuyanunua na ukishafanya chaguo lako unatakiwa sasa ujue soko la madini hayo liko wapi na wanayanunua vipi na madini gani katika hayo yanahitajika sokoni na madini gani hayahitajiki sokoni, hii itakusaidia kuokoa pesa zako kwa kuzoazoa kila mawe yaitwayo madini na kupeleka uchafu sokoni ambao hutaenda kuuuza popote na hatimae utajikuta umepoteza pesa na umekata mtaji
3. Usiogope kuanza na kuwa mwepesi kujifunza kwa kila changamoto utakayokutana nayo kwni unatakiwa kutbua kuwa hakuna ambae kazaliwa akiwa anayajuwa madini bali wote tumezaliwa hatujui na tumekuja kuyajuwa madini baada ya kukubali kujifunza na ilituchukuwa muda na garama pia na garama hizo ni pamoja na kupoteza pesa hadi imefika mahali tunayajuwa hivyo hata wewe uwe tayali kujifunza na uwe tayali kupoteza muda na garama katika kuyajuwa madini vizuri hivyo usiwe mtu wa kukata tamaa mapema kwani kuyajuwa madini itakuchukuwa muda kidogo kuyajuwa na kuuaelewa vizuri hivyo pambana usikate tamaa ipo siku hutapoteza pesa tena kwa kuuuziwa madini feki ipo siku hutapoteza pesa tena kwa kuuziwa chupa...
4. Usiingie katika biashara hii kwa pupa ya kutaka kupata utajiri wa haraka kisa unao mtaji wako wa kutosha wakati unajuwa fika ww ni mgeni na madini hata huyajui hili ni kosa kubwa linaweza kukugarimu mtaji wako wote na ukajuiltia maisha yako yote..., muda ambao ww huyajui madini vizuri tumia muda huo kupenda kujifunza biashara hii zaidi badala ya kutaka kuingiza faida katika muda huu. Muda huu kwako wewe sio wa kuingiza faida huu ni muda wa wewe kuhakikisha huootezi pesa kizembe na muda huu chunga sana pesa yako tena kama uliiweka benk basi usiende kuitoa yote yaani toa pesa ya kujikimu tuu inhine utakuja kuitoa siku za usoni ukisha yajuwa madini vizuri...
5. Kipindi ambacho wewe huyajui madini kuwa makini sana unapofanya "PARTNERSHIP" na mtu ambae yeye ndio kama mwalimu wako katika biashara hii yaani kuingia ubia/ushirikiano na mtu ambae wewe ndio utamtegemea akuongoze katika biashara, kwenye hii biashara ya madini watu waaminifu niwakuhesabika yaani katika watu 10 mwaminifu ni mtu 1 tuu, hivyo kuwa makini asije kutumia mbinu ya kukusaidia kwakuwa hujui madini akatumia mwanya huo kukuhamishia mtaji wako wote..., wengi kwenye hii biashara wamelizwa kwa kuwaamini watu ambao wao ndio wanawaita "MWENYEJI WANGU" hawa ndio mwisho wa siku uenyeji unageuka kuwa uwadui wa milele, anakulia hela zako na akiona pesa yako ndio inaelekea kukata anakuacha upambane na hali yako..., KUWA MAKINI KWENYE SWALA LA PESA ZAKO...
kinachofanyika ni kwamba wewe mgeni ambae huyajui madini umekuja na MTAJI, wenyeji ambae anayajuwa madini HANA MTAJI, sasa kinachotokea mgeni akionekana kwenye machimbo ya madini basi hawa wenyeji ambao hawana mitaji wanaanza kujileta na kuwa karibu yako na kujenga urafiki na ww usipokuwa makini utaona kuwa ni watu wazuri mwisho wa siku mnaungana na mnakubaliana mwende wote mgodini mkanunue wote mje kuuza mgawane faida, yeye (mwenyeji) madini yakija yaanimchimbaji amkileta madini kuwauzia yeye anayatolea bei kisha ww mgeni mwenye pesa ndio unatoa hela.., yeye anataja bei wewe ndio unatoa hela kinachofanyika mwenyeji anawatuma wachimbaji nyuma ya pazia walete madini yeye atayatolea bei kubwa kisha wakopewa hela pesa yake yajuu watampa baadae hapa huyu mgeni hajui chochote muda huo..🤣, wewe mgeni mtoa pesa unajikuta madini yenye thamani ya milioni 1 umeyanunua kwa milioni 5 kumbe mwenzako anapata mgao nyumba ya pazia kwa wachimbaji unaowapa pesa mnaenda sokoni kuuza madini ulioyanunua kwa milioni 5 yanaingia bei ya laki 8 hapo kipindi hiko mtaji wako umeisha muda huo mwenyeji wako kapata mgao wake wa chocho milioni zake 2, wewe unakimbia biashara kwa kukata mtaji na kurudi nyumbani ukiwa huna mtaji mwenzako huku nyuma amepata mtaji wa milioni 2 ambazo kipindi wewe hujaja alikuwa hata hanayo hivyo hii ndiO KUFA KUFAAANA...😭 unapoingia kwenye hii biashara kuwa makini na unae ungana nae kuna wakati kubaki pekeako ni bora zaidi kuliko kuungana na mtu ambae sio sahihi kwako atakae sababisha ANGUKO lako
UNAHITAJI KUJIFUNZA ZAIDI BIASHARA HII??
soma kitabu chetu, kitabu pekee kwa TANZANIA 🇹🇿 kinachokufundisha namna unavyopaswa kuianza baishara ya kununua madini kinachoitwa "MWONGOZO WA BIASHARA YA MADINI "
Kitabu kinauzwa tsh 20,000/= na mpigie muuzaji wetu aliopo dar ili akutumie au ukifate pale bamaga bookshop njia panda ya sinza mpigie kwa namba zake/whatsapp:
0762-312-171