Prof. Muhongo ataja utajiri wa madini nchini “Tufanye maamuzi haraka tutailisha dunia”

Kutokuangalia video na kukimbilia kucomment ni ujinga wako binafsi
Ujinga ni kudhani comment lazima utoe kwa ujumla wa kitu..., unaweza kutoa comment kutokana na muktadha wa heading unless uzi wako haujitoleshelezi (heading kuakisi kilichopo) au hakuna dondoo...
 
Toka hapa.... Acha kujitetea ujinga, hiyo video haina urefu wowote wa kuchosha kwa mtu kuangalia na kutoa comment ya kujenga.

Mtu mwenye akili timamu angepita kimya kimya mpaka apate muda wa kuangalia
 
Unapangia watu cha kuangalia na kujibu ? Mimi nimekwambia nimejibu heading yako na kutoa angalizo kabisa kwamba comment yangu inahusu heading sasa wewe ungetaka urahisi wa mtu kuweka comment za kujenga ungeweza kuweka dondoo..., tunaishi dunia ambao kuna quantity ya content ambayo haiendi sambamba na quality thus hata muda wa mtu ni wa maana na ndio maana huwa kuna executive summary hata kwenye andiko lolote
Mtu mwenye akili timamu angepita kimya kimya mpaka apate muda wa kuangalia
Na kama nina cha kuongea kuhusu heading ya uzi na sina mpango wa kuangalia hio video hata baadae hapo ninafanya nini ?
 
Back
Top Bottom