Ujinga ni kudhani comment lazima utoe kwa ujumla wa kitu..., unaweza kutoa comment kutokana na muktadha wa heading unless uzi wako haujitoleshelezi (heading kuakisi kilichopo) au hakuna dondoo...Kutokuangalia video na kukimbilia kucomment ni ujinga wako binafsi
Sitoi ushauri bure, Serikali wanifwate inbox kama ipo serious na Watanganyika.Kwahiyo unashauri nini kifanyike?
napenda kupata mafundisho yako tujifunze kwako hapaNimekisoma hiko kitabu mara nyingi sana, labda kama wewe ndio rama. Ila nakifahamu hiko kitabu. Ila huyo rama mwenyewe mimi mwalimu wake.
Nenda kasahihishe hisia zako tukufundishe.napenda kupata mafundisho yako tujifunze kwako hapa
Toka hapa.... Acha kujitetea ujinga, hiyo video haina urefu wowote wa kuchosha kwa mtu kuangalia na kutoa comment ya kujenga.Ujinga ni kudhani comment lazima utoe kwa ujumla wa kitu..., unaweza kutoa comment kutokana na muktadha wa heading unless uzi wako haujitoleshelezi (heading kuakisi kilichopo) au hakuna dondoo...
Unapangia watu cha kuangalia na kujibu ? Mimi nimekwambia nimejibu heading yako na kutoa angalizo kabisa kwamba comment yangu inahusu heading sasa wewe ungetaka urahisi wa mtu kuweka comment za kujenga ungeweza kuweka dondoo..., tunaishi dunia ambao kuna quantity ya content ambayo haiendi sambamba na quality thus hata muda wa mtu ni wa maana na ndio maana huwa kuna executive summary hata kwenye andiko loloteToka hapa.... Acha kujitetea ujinga, hiyo video haina urefu wowote wa kuchosha kwa mtu kuangalia na kutoa comment ya kujenga.
Na kama nina cha kuongea kuhusu heading ya uzi na sina mpango wa kuangalia hio video hata baadae hapo ninafanya nini ?Mtu mwenye akili timamu angepita kimya kimya mpaka apate muda wa kuangalia