Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Hivi? ndugai anakula mshahara was uspika kama Yule madam spika!? Kwa sababu yule alistaafu huyu alijiuzuru kwa kashfa.

Nionavyo mie madam prezidaa angekuwa na roho ya kishetani angemshughulikia vizur sana ndugai, huyu mgogo ilikuwa ni kama alimtusi Mh Rais.

Magu asingekubali kabisa
 
Kwamba kalipwa baada ya kifo cha Magu na yeye karudishwa nafasi yake?

Tatizo udini ukikuzidi sana hata kama ni msomi kwa kiwango gani huondoa maarifa na busara.

Yeye angekuwa wa maana dunia ingekuwa imeshamchukua na kumtumia kama kina Mwelle Malecela.

Ana mapungufu mno kuliko anavyodhania yupo sahihi. Kiislam huwa wanaamini kila ridhki hupangwa na mwenyezi Mungu ndio maana huwa wanasema kila mtoto anazaliwa na ridhki yake.

Huyu ridhki zake za visasi na husda. Atabaki hapo sana tu.
Atabaki hapo sana wewe ni Mungu? Nafasi aliyonayo na elimu aliyonayo wewe utaipata? Endelea kula mihogo yako na kachumbali huko.
 
mwislamu safi mcha Mungu huwezi ukamuona ana sigida. wenye sigida wengi ni wanafiki, wana chuki, roho mbaya na ni wakatili sana. Hata hivyo mbona waarabu hizo sigida hawana? Hata imamu/sheikh mkuu wa maka hana, inakuwaje hawa waswahili wanazo, wanajisugua makusudi?
Hakuna unalolijua wewe nenda ukaoge alafu upande kitandani ulale
 
Proopesa mzima unalia kutumbuliwa,fanya elimu yako kuwa hela nje ya ajira.nasisi darasa la saba tufanyaje!?
 
Ninyi mnaongea ya juu juu tu. Huyu bwana alipitia wakati mgumu sana. Hata kuwepo kwake hai mpaka leo, kwa kiasi kikubwa alisaidiwa na dini yake.

Wenzetu waislam, wanasema muislam mwenzako ni mtu wa karibu zaidi kuliko mwingine yeyote.

Wapo watu (sijui kama ni busara kuwataja, maana mpaka sasa wapo kwenye ngazi za juu za Serikali na utumishi wa umma. Wanaojua codes, mmoja ana majina yenye herufi JM, na mwingine BSR, wote waislam) walishikirishwa katika mipango ya kumpoteza Duniani huyu profesa aliyekuwa CAG eti kwa sababu ana kiburi. Na jambo hilo ilikuwa lifanyike baada ya uchaguzi wa 2020. Watu hao hao walioshirikishwa kwenye mipango hiyo, kwa vile ni waswahilina wenzake, walienda kumtonya kuwa aondoke haraka mjini. Na alifanya hivyo.

Ikumbukwe kuwa alitekwa kwa mara ya kwanza akiwa Mlimani City, lakini ikawa bahati nzuri watu wengi wakawa wameona. Akaachiwa baada ya masaa 8.
Sawa mkuu asamehe yaishe, anachoendelea kukifanya wala hakileti picha nzuri kwake na imani yake.
 
Naona wewe unawashwa pabaya zaidi.
Unataka umfunge mdomo?
Unaysjua madhila aliyopitia?
Ni vyema basi akaeleza hayo yote aliyopitia ili pengine anaweza kujisikia vizuri na kumfanya asamehe na kuendelea na maisha mengine.
Kwa sababu hivi sasa hatujui alichopitia ila tunaona tu chuki ndani yake ambayo inamtafuna ndani kwa ndani, yeye ni mtu wa dini na watu humchukulia kama mchamungu hivyo si vyema kuendelea na hiyo chuki ya waziwazi na kushindwa kusamehe.
 
JPM alivunja katiba. Hapa ndio Suala la msingi lilipo.

"Raisi anaeapa kuilinda katiba na kisha Huyo Huyo anaenda kuivunja katiba aliyoapa kuilinda.. Huyo hatufai"
JK NYERERE.
 
Ni vyema basi akaeleza hayo yote aliyopitia ili pengine anaweza kujisikia vizuri na kumfanya asamehe na kuendelea na maisha mengine.
Kwa sababu hivi sasa hatujui alichopitia ila tunaona tu chuki ndani yake ambayo inamtafuna ndani kwa ndani, yeye ni mtu wa dini na watu humchukulia kama mchamungu hivyo si vyema kuendelea na hiyo chuki ya waziwazi na kushindwa kusamehe.
huyo ni mcha shetani wacha Mungu wote huwa wanasamehe.ukiona mtu anakinyongo na hasamehe basi huyo si mcha Mungu ajifunze kama walivyo akina Pengo.
 
Uko sahihi kabisa, Nimetembelea mara kadhaa uarabuni, lkn sijawahi ona muarabu akiwa sigida.
Ni hawa tu kina asad ndiyo sijui wameitoa wapi.
nadhani wanajikwangua....na yule jamaa anaitwa julius mtatiro ile sigida yake ni ya kuswali au amechuna ngozi?
 
Back
Top Bottom