Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Sheria hiyo ilikuwepo siku nyingi sana. hakuna CAG aliyewahi kutumika zaidi ya vipindi viwili bila kujari umri wake. Miaka yoyte ya nyuma Rauis allikuwa anaamua kumuongezea CAG kipindi kingine, lakini mwaka huo fateful, Rais akaamua kutoongeza kipindi cha pilia kama ambavyo sheria hiyo ilivyokuwa inaruhusu.
Kwa sababu ya 1.5 Trillion.
 
nadhani wanajikwangua....na yule jamaa anaitwa julius mtatiro ile sigida yake ni ya kuswali au amechuna ngozi?

Yaani ni shidaa, mtu anajipaka sijui nini ili ajioneshe kwa watu kwamba yeye ni mtu wa swalah.
 
huyo ni mcha shetani wacha Mungu wote huwa wanasamehe.ukiona mtu anakinyongo na hasamehe basi huyo si mcha Mungu ajifunze kama walivyo akina Pengo.
Si sifa nzuri kwa imani yake kuonyesha kuwa yeye ni mtu ambaye sio mwenye kusamehe binafsi naingiwa na mashaka sana kwa vile tunavyomchukulia kama huko kumuona ni mchamungu.
 
Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni mlango wa kupitia kondoo. 8 Wote walionitangulia ni wezi na wany ang’anyi. Hata hivyo kondoo hawakuwafuata. 9 Mimi ni mlango; mtu ye yote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu atakuwa salama, naye ataingia na kutoka na kupata malisho. 10 Mwizi huja kwa nia ya kuiba, kuua na kuharibu. Nimekuja ili watu wapate uzima.
I am the Good Shepherd.
Magufuli ali sacrifice maisha take kwa ajili ya Watanzania.
 
Wale waliokuwa wanaokotwa kwenye viroba baada ya kutoswa baharini pia aliji sacrifice kwa ajili yao?
Acha ushamba. Matatizo ya viroba hayajaondoka. Huwezi kutenganisha Security Services na wanton killings.
 
C.A.G Mussa Assad, akihojiwa na channel ya YouTube inayoitwa "CHANZO" amesema aliondolewa nafasi yake kwa dhulma, na kwamba baada ya kuondolewa aliendelea kuomba dua, na Mwenyezi Mungu amejibu.

Prof. Mussa Assad alijikuta katika misukosuko na John Magufuli na Spika mstaafu Job Ndugai.
View attachment 2629494
Huyu nae hana tofauti na wale wa milembe
 
Back
Top Bottom