Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Sio bure ndo maana nisha ku ignore kitambo sana .
Maxence Melo Paw Moderator hawa watu tunao wa ignore ina kuaje wana reply comments zetu na wana ziona hii block kazi yake ni nini .si kutuondolea watu wenye akili ndogo kwenye our personal space View attachment 2628496
Mkuu sigida ni sugu kama sugu zingine mwilini lakini haimaanishi usafi wa Moyo eti kuwa mtu fulani ana hiyo sugu kwenye paji la uso inayopatikana kwa kuinamia sakafu mara nyingi.Ndio maana nasema pamoja na kuwa na sigida huyu jamaa ni msindikizaji katika dini.
Kinachombeba ni elimu tu katika uislamu.
Ina kwaza sanaIgnore ya JF Haina meno[emoji1787][emoji1787][emoji1787]imekaa kimchongo[emoji1787]
Ukosikoa paaaaa!Sio bure ndo maana nisha ku ignore kitambo sana .
Maxence Melo Paw Moderator hawa watu tunao wa ignore ina kuaje wana reply comments zetu na wana ziona hii block kazi yake ni nini .si kutuondolea watu wenye akili ndogo kwenye our personal space View attachment 2628496
Yaani huwezi kukwepa kuliongelea vibaya shetani lile. Uovu wake uko wazi mnoHivi ni kila ukimuongelea vibaya JPM unalipwa au ?
ridhki sijui ndo nini wakuja wwKwamba kalipwa baada ya kifo cha Magu na yeye karudishwa nafasi yake?
Tatizo udini ukikuzidi sana hata kama ni msomi kwa kiwango gani huondoa maarifa na busara.
Yeye angekuwa wa maana dunia ingekuwa imeshamchukua na kumtumia kama kina Mwelle Malecela.
Ana mapungufu mno kuliko anavyodhania yupo sahihi. Kiislam huwa wanaamini kila ridhki hupangwa na mwenyezi Mungu ndio maana huwa wanasema kila mtoto anazaliwa na ridhki yake.
Huyu ridhki zake za visasi na husda. Atabaki hapo sana tu.
Eri sigida!Ndio maana nasema pamoja na kuwa na sigida huyu jamaa ni msindikizaji katika dini.
Kinachombeba ni elimu tu katika uislamu.
Sigidamwislamu safi mcha Mungu huwezi ukamuona ana sigida. wenye sigida wengi ni wanafiki, wana chuki na roho mbaya na katili sana. Hata hivyo mbona waarabu hizo sigida hawana? Hata imamu/sheikh mkuu wa maka hana, inakuwaje hawa waswahili wanazo, wanajisugua makusudi?
Rudia kusoma tena kabla ya kujibu,itakuheshimisha sana,Kuna mahali kamtaja JPM.....wewe ndio una chuki. Yeye kasema aliendelea kuomba dua.
Hakuwa mwanasiasa.Siasa sio Jambo jepesi kwa wasio na kifua. Pole sana siasa ngumu sana, siasa haikukupenda licha ya kuonesha kuipenda.
Bila shaka wewe ndio umekurupuka. ''Prof. Mussa Assad alijikuta katika misukosuko na JPM na Spika mstaafu Job Ndugai.''...Rudia kusoma tena kabla ya kujibu,itakuheshimisha sana,
Nilichogundua hapa jukwaani wengi mnakurupuka kujibu hovyo bila kusoma,aibu kwa taifa
Duh!Bwanae msituchoshe mbuzi nyie,hivi ni nyie hawahawa mnaotia huruma.
Wote tutakufa sawa,ila DUBWASHA kutangulia ni nafuu.
VIMBA mpaka mpasuke,ukweli ndo huo.
Mlijaa majivuni mbuzi nyie.
Leo beans wenu yuko wapi KUKU NYIE.
Na bado mtaendelea kuweweseka pumbavu Sana.
Na iwe somo washenzi nyie.
Mwenye akili timamu hawezi shadadia uongozi wa namna ile.
Nyie ni KENGE WA KIJANI KIBICHI.
Mkimaindi fresh,misukule nyie mliokuwa hamjui hata Nini maana Utawala Bora.
Mlikuwa mnatawala utadhani mpo na wake zenu na watoto wenu MBWA nyie.
Dah,natema nyongo mpaka najisikiaga mwepesi kinyama.
Hawa mbwa aise,hawajifunzi pumbavu.
Mungu Fundi,hataki ubabaishaji na unafiki plus UZANDIKI.
Shenzi type,shwain,indaragibong,odombilenje,umwilinchukimo,atantuburuzaerigowe,chapigionyty.Adiot.
Leo nimewaamulia Kambale nyie.
Hii grosaly inaitwa ONE LAST CARD
Imefunguliwa mapema kweli,Kama walijua kuwa nakuja hapa.sasa nimeingia Jamiiforums nakutana na mtoa post anashambuliwa na baadhi ya NGURUWE KENGE
NIPO GAMBE,UKIMAINDI FRESH,ME NIPO NZIIIIIII.
🔨🔨🔨Uislamu ni dini inafundisha chuki sana.
Huyu anaswali sala Tano wanamuita muislamu safi lakini kutwa kusema marehemu vibaya.
Sasa alitaka kuwa CAG maisha yake yote.
Mzee ana tamaa sana huyu ya pesa na madaraka.
Dua yake ilipokelewa kwa mikono miwili,na heshima yake imeludi dhidi ya mzurumati yuleHuyu anawashwa kweli, amejaa chuki tu. JPM alikuwa sahihi kula kichwa, hauwezi kuwa na mtumishi roporopo namna hii.
Unaweza ukamuomba Mungu,kwa ajili ya maonevu uliyofanyiwa na watu madhariri,halafu Mungu akawapeperusha na kuwanya'nganya madaraka kama MagufuliHatari,so Mungu alijibu kwa Magu kufariki.Alikua anamuombea Magu kifo ?Hatari sana.